Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,067
- 87,084
Achana nao hao😅UN wameomba namba yako niwape ?
Achana nao hao😅UN wameomba namba yako niwape ?
Dada yake afanyiwe hivi sukari inapanda siyo sawaHakuna jokes za namna hii, ana body shame mwanamke kisa alimkataa akazalishwa huko, anamlimganisha na mabinti wadogo, dada yake akifanyiwa hivi hawezi kufurahia! Hii sio sahihi kabisa!
Wanafosi sana nitawapa hata email tuAchana nao hao😅
Ngoja nikuibie siri hao wanaoponda wala hawana shida na mara nyingi ni utani tu ,ila wale wanaojifanya wapo Hamble ndio waharibifu namba moja wapo mawindoni tu😁Unaona hiyo screenshot, ni comments zote zinatukana na ukifuatilia nyingi ndio uhalisia uliopo na kumbuka hao sio waafrika sasa, assume tatizo ni kubwa kiasi gani!
Sijui kwa nini ila huwa naona maneno ya watu ni mengi kuliko uhalisia.Hakuna jokes za namna hii, ana body shame mwanamke kisa alimkataa akazalishwa huko, anamlimganisha na mabinti wadogo, dada yake akifanyiwa hivi hawezi kufurahia! Hii sio sahihi kabisa!
Na kupigana juu!🙌🏾Dada yake afanyiwe hivi sukari inapanda siyo sawa
Shindii wewe hauna?Ila watu mna machunguu🤔
Wape ileile nilikutumia januari😆Wanafosi sana nitawapa hata email tu
Hmm labda kweli.. wacha tuone!Ngoja nikuibie siri hao wanaoponda wala hawana shida na mara nyingi ni utani tu ,ila wale wanaojifanya wapo Hamble ndio waharibifu namba moja wapo mawindoni tu😁
Limeisha Hilo kamandaWape ileile nilikutumia januari😆
Mimi nashindwa kuelewa huu uvumi unatokana na nini? Nilikuwa naona hivyohivyo ajabu naona mpaka nchi za wenzetu huu ujinga upo!Sijui kwa nini ila huwa naona maneno ya watu ni mengi kuliko uhalisia.
Hasa mtandaoni.
Na hivi sina hela acha kabisa machungu hayapimiki shindii.Shindii wewe hauna?
Nimekupa za ndani sana , kaa kimasta😀Hmm labda kweli.. wacha tuone!
Kila siku hauna hela wewe😄 hata tarehe za hela😄Na hivi sina hela acha kabisa machungu hayapimiki shindii.
Sawa minister of internal affairs 😁Nimekupa za ndani sana , kaa kimasta😀
Kumbe kuna tarehe za hela na hamniambii? Ndio zipi hizo shindii?Kila siku hauna hela wewe😄 hata tarehe za hela😄
Haujawahi kuona bidhaa ikipondewa sana ili tu bei ishuke iwe sawa na bure😃 tatizo haunisikilizagi weweSawa minister of internal affairs 😁
Hapa kuelewana shida.Mimi nashindwa kuelewa huu uvumi unatokana na nini? Nilikuwa naona hivyohivyo ajabu naona mpaka nchi za wenzetu huu ujinga upo!