Kwa hiyo ndugu zanguni mmeamua kunipondea? Mimi ni kama Viva Roma, kwenye ukweli nitazungumza!
Haikuwa na maana ya yeye kuanza kujisogeza kwangu tena ilihali alinioneshea dharau na majibu ya kejeli, kisha kunisema akiwa na marafiki zake ili wanicheke i.e sina hela, sina mbele wala nyuma
Leo meza imegeuka, mnataka akijisogeza nimwambie "Pole mama, pole sana na mahangaiko ya kutafuta wanaume sahihi pasi na mafanikio, yaliyopita si ndwele tugange yajayo, sogeza mtoto wetu ndani tumlee! sawa mama, tuanze moja bila, huo mwili uliokoboka tutaanza kuzingatia dayati, sawa kipenzi, nimekusamehe kipindi kile nimekushika mkono barabarani ukawaka mpaka bodaboda wakapiga mirudhi, sawa kipenzi"
Hayajawakuta😁😁😁😁😁😁😁😁