NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Gwajima alitoka Chadema akahamia CCM.
Gwajima wakati akiwa Chadema alikuwa anapewa heshma kama zote.
Gwajima wakati akiwa Chadema alikuwa anapewa heshma kama zote.
Tuseme tu ukweli jimbo la Kawe kwa miaka yote 10 tuliyompa Halima hakuna mabadiliko yoyote maji ni shida, barabara mbovu, shule ndiyo usiseme watoto wetu wanapata shida,kwenye afya ndiyo kabisa.Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Kawe hatuelewi mpaka mzee baba tumpe nafasi we unadhani sisi tunapenda kuishi kama tuko motoniWale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Unamaanisha bado week kadha Gwajima awe mbunge eehHizo ni bakora za Mungu.... bado wiki chache tu utaskia mgombea wao anamwombea kura za ndiyo Lissu!!
Gwajima ni chuma hana unafiki na mtu akisema kasema mambo yanayo eleweka.Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Ukweli ambao upo wazi ni kwamba Gwajima anachukua ubunge ndo maana mnahofu sana mioyoni mwenuChamsingi Elewa tu Gwajima KAWE hahitajiki. Hilo ndilo la muhimu zaidi
Gwajima tunamkubali anatufaa kwa kasi ya Rais yetu mtuacheWale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Acha uchochezi wa kidini na kikabilaGwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Tapeli anaweza kufanya mambo anayoyafanya Gwajima? Gwajima jembeeeeeGwajima ni tapeli.
Ndio haitajiki kwako wewe unayekaa buza, sisi wa kawe tunauhitaji saaaana!Chamsingi Elewa tu Gwajima KAWE hahitajiki. Hilo ndilo la muhimu zaidi
Kugombea mwenyewe sifa ni kujua kusoma na kuandika nani ashindweKagombee wewe maana naona kelele nyingi kutamani usichoweza
Kwani kutapeli nayo ni sifaTapeli anaweza kufanya mambo anayoyafanya Gwajima? Gwajima jembeeeee