Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Kamati kuu ndo iliyoona anafaa ndo maana walimteua mambo ya kadi ya CCM hayakuhusu
IMG-20200930-WA0093.jpg
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Siku aliyopata kadi ww haikuhusu ila tambua kadi alikuwa nayo tayari na sasa ameamua kugombea ubunge jimbo la Kawe.
 
Tunachugua gwajima n mgombea ubunge kupitia CCM mambo ya kadi ya chama hayatuhusu sisi na tunakwenda na Gwajima kawee
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Hapo ulipo bado mtoto mdogo saaana subir ukue ndo uje kwenye uwanja wa mapambano
Sisi wakubwa ngoja tuende na gwaj boy
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.

Hahahaha tuanze kwanza kujua uanachama wako una miaka mingapi..

isije kuwa tunadeal na mwanachama aliyejoin august 2020
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Gwajima hana unafiki huwa anasema ukweli kakipenda chama kutokana na mabadiliko yaliyotokea awamu hii ambayo hata ingekuwaje bila mtu mahili tusingeyapata kweli Gwajima wewe ni mzalendo kawe inakuhitaji sana big up
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Kwani ww kila unachokipenda huwa unawaambia watu?
Gwajima ni mjanja ww ana akili kama vile mchwa.
Ngoja aende Bungeni akalete mabadiliko kwenye jimbo la Kawe.
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Kwa utaratibu wewe huna mamlaka ya kusema chochote kuhusu chama chetu pendwa cha CCM maana hata kadi huna
 
Back
Top Bottom