Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Gwajima alitoka Chadema akahamia CCM.
Gwajima wakati akiwa Chadema alikuwa anapewa heshma kama zote.
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Tuseme tu ukweli jimbo la Kawe kwa miaka yote 10 tuliyompa Halima hakuna mabadiliko yoyote maji ni shida, barabara mbovu, shule ndiyo usiseme watoto wetu wanapata shida,kwenye afya ndiyo kabisa.
Safari hii ngoja tumpe Gwajima tuna imani maendeleo yatakwepo tu na ni mwana CCM mwenye kadi ya zamani.
 
Unatakiwa kujua Gwajima ni jina kubwa na ana influence kubwa pia Chama cha mapinduzi kinataka ushindi na ndiyo maana kimeamua kumuweka Gwajima kama mtu atakayewawakilisha, hayo mambo mengine hayabadilishi ukweli kuwa Gwajima anataka kuwaletea mabadiliko watu wa kawe
 
K
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Kawe hatuelewi mpaka mzee baba tumpe nafasi we unadhani sisi tunapenda kuishi kama tuko motoni
 
Kusema ukweli mim nilkuwa shabiki mkubwa wa chadema lakin Baada ya huyu mwamba Magufuli alipoingia Madarakan nimeielewa CCM aise na kuipenda balaa CCM oyeeeee
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.

Gwajima amekuwa CCM baada ya Kushawishiwa zaidi 'Kikabila / Kiukabila' na 'Nduguye' ila wanaomjua wanajua kuwa Yeye si mwana CCM 100%.
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.

Hahahhaa yaan wewe unauchungu sana na chama kuliko mwenyekiti wa CCM aliyempitisha kama mgombea ubunge kawe..

Acha ujinga na unafiki kijana wa Bavicha
 
Gwajima ameahidi kuleta maendeleo ya kisiasa.
Gwajima anamchango mkubwa katika siasa za leo Kila mtu anadini na Upendo wake wa dini sio sababu yakutokubalika.
Vatican City kwani waislamu hawa ruhusiwe kwenda ?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom