Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Unatakiwa ujiulize saana kwanini Gwajima kapitishwa na halmshauri Kuu na kuaminiwa na CCM ,Gwajiboy ana akili ya kuwamaliza wapinzani ,na ubunge kashachukua
 
Gwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Watanzania waliowengi wamekuwa wakifungwa akili na watu wenyekupotosha mafanikio kwa maslahi yao ambapo kama mmoja wa nakala hi alivyofanya.. gwajima alipokemea uovu kwa manufaa ya watu wote wachache wenye manufaa yao binafsi wanachukulia kama fimbo kumchafua ila Gwajima anaweza kuwavusha wanyonge,walionewa,na kunyimwa haki zao.
 
Gwajima anajua mwenyewe lin alichukua kadi ya CCM najua kuwa chadema mlitaman aje kwenu sema ndo hvyo hamna adabu kawakimbia mwaka huu mtaisoma namba tulien tu kawe imeshaondoka mikonon mwenu
 
Gwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Gwajima hawezi kufanana na wewe
Hata ukigombea hupati hata namba moja ya kura za watu
Achana na gwaj boy huyo sio type yakoo
 
Nazidi kumkubali Gwaji boy kwel yule jamaa n fire kama anaweza kuwanyima watu raha na amani kiasi hiki salute kwake
Gwajima oyeeeeee
 
Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Mimi nashindwa kuelewa kwann watu wanakubali kubaki na upuuzi kwenye akili zao. We all know how CCM was kabla Magufuli hajaingia madarakani, Hata mm nakuwa muwazi sikuwahi kuipenda lkn kwa mabadiliko aliyoleta Magufuli katika kipindi chake cha utawala kimeleta ushawishi mkubwa sana na hivi sasa watu wanaimani na CCM.
Wewe ndo uache unafki sasa!!

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom