Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Majeshi ya israel hayapo westbank wala Gaza,,Sio nchi Palestine na Wala Haina jeshi.
Eneo wanaloishi wapalestina linaitwa West Bank ambalo Israel wametandaza majeshi yao kila mahali
Eneo hilo lina utawala wake unaoitwa Palestinian authority (PA) ambayo ni kama serikali lakini haina nguvu.
Pia wapo Wapalestina wanaoishi Gaza ambao kundi linaloongoza eneo Hilo ni Hamas
Ila kama kuna operation ya kutafuta mhalifu ndiposa askari wa israel huingia mpaka westbank kwa makubaliano na vikosi vya usalama vya westbank,
Ila kwa upande wa Gaza,wanajeshi wa israel hawawezi kutia mguu ndani ya gaza..kwani hamas hawana mkataba wowote wa ushirikiano na jeshi la israel.