Hivi ni kweli Palestina hawana Jeshi?

Sio nchi Palestine na Wala Haina jeshi.
Eneo wanaloishi wapalestina linaitwa West Bank ambalo Israel wametandaza majeshi yao kila mahali
Eneo hilo lina utawala wake unaoitwa Palestinian authority (PA) ambayo ni kama serikali lakini haina nguvu.

Pia wapo Wapalestina wanaoishi Gaza ambao kundi linaloongoza eneo Hilo ni Hamas
Majeshi ya israel hayapo westbank wala Gaza,,
Ila kama kuna operation ya kutafuta mhalifu ndiposa askari wa israel huingia mpaka westbank kwa makubaliano na vikosi vya usalama vya westbank,
Ila kwa upande wa Gaza,wanajeshi wa israel hawawezi kutia mguu ndani ya gaza..kwani hamas hawana mkataba wowote wa ushirikiano na jeshi la israel.
 
Upo sahihi, Israel iliondoa majeshi yake Gaza toka mwaka 2005 baada ya kuikalia kwa miaka takribani 40.
 
Majeshi ya israel hayapo westbank wala Gaza,,
Ila kama kuna operation ya kutafuta mhalifu ndiposa askari wa israel huingia mpaka westbank kwa makubaliano na vikosi vya usalama vya westbank,
Ila kwa upande wa Gaza,wanajeshi wa israel hawawezi kutia mguu ndani ya gaza..kwani hamas hawana mkataba wowote wa ushirikiano na jeshi la israel.
Gaza ndio hakuna jeshi la Israel, West Bank ipo occupied na majeshi ya Israel tangu mwaka 1967.

We unadhani Israel ingewezaje kujenga makazi West Bank kama isingekuwa ime control karibu eneo lote na jeshi?

Israel ina expand taratibu na lengo ni kuimeza West Bank yote, na ndio maana two state solution ni kizungumkuti sababu Israel haitaki kuachia West Bank
 
_109737336_west_bank_settlements_oct_2019_640_3x-nc.png

Westbank
 
Palestine ina maana nyingi,,maana inajumuisha hadi israel,kwani kabla ya 1948 iliijulikana kama palestine ikiwa chini ya udhamini wa Uingereza,,yaani umoja wa mataifa baada ya vita vya pili vya dunia iliipa uingereza kwa niaba yake ili kuitawala kabla ya kupata uhuru,
So raia wa wa palestine wenye asili ya kiyahudi(palestine jews? Wakaanzisha mapambano ya kujitenga na hatimae kujitangazia uhuru 1948, ndiposa pakaweko na israel ndani ya eneo la palestine,
Hii ilipelekea waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo wajulikane rasmi sasa kama wapalestine,yaani wakazi wa palestine,
Palestiner ya leo imegawika sehemu kuu 2,
Western bank na gaza,,
Western bank wana jeshi la polis,,
Gaza wana jeshi lao la Hamas,
Wapalestine wa israel,walioko miji ya jerusalem,nazaret,bethelehem wanajulikana kama israel arabs
Palestine mandate ilitangazwa na kuweka Chini ya Uingereza baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia ,hii Ni baada ya Ottoman empire mshirika wa Ujeruman kusambaratika na maeneo yake mengi kugawanywa kwa nchi washirika.Ugomvi ulianza baada ya wayahudi wengi kuhamia Palestine wakitoka mataifa mbalimbali kutikana na mapambano ya kizayuni.Baada ya kugawanywa ,Palestina ilichukuliwa na Israel na wagomvi wakeyaan Jordan na Misri hadi 1967 maeneo yote ya Palestina ya Sasa yakatwaliwa na Israel.Mamlaka ya ndani ya Palestine yaani PNA yalitengenezwa kwa makubaliano ya Oslo 1993.Katika makubaliano hayo Palestina Ina polisi tu mipaka yake iko chini ya IDF.
 
Palestine haikuchuliwa na israel ,kabla ya hapo,wayahudi na waarabu wote wakiishi kwenye eneo lililoitwa palestine kama raia wa palestine ambayo ilikua chini ya UN mandate,,so waingereza ndo wakitawala baada ya kuwaondoa ottoman empire,
Wayahudi waluanzisha harakati za kujikomboa kwa kushambulia targets za waingereza kwa mabomu etc..
Muingereza akakimbia,,ikabaki sasa civil war 1948,,yaani kuwahi maeneo,kwani uingereza aluondoka bila kuacha usimamizi wowote,
Kosa walulofanya waarabu ni kuyahama baadhi ya maeneo ilu kukimbia vita,,hivyo kila wayahudi wakikuta eneo liko wazi walikita mizizi na hatimae wakajitangazia uhuru,,
Hiyo ndo maana unasikia leo kuna wakimbizi wa kipalestine,syria,turkey,tunisia,jordan na lebanon kwa mamilioni,hao ndo walikimbia makazi yao,wayahudi wakayakalia
 
Sasa wewe si ulisema West Bank hakuna wanajeshi wa Israel? Hiyo ramani mbona inaonyesha?
Hawaingiliani na askari wa westbank,mpaka kuwepo operation maalumu,vinginevyo kuna settlement za wsyahudi,ndani ya westbank ,nyingi zimezungushiwa kuta humo ndo Idf hulinda ,hizo settlement haziingiliani na makazi ya wapalestine
 
hivi mkuu hamas wapo chini ya iran ama syria maana drone na baadhi ya silaha zao zina fanana na za iran
Main sponsor ni uturuki na Qatar,,Hamas ni muslim brotherhood,iran sio sponser mkubwa ws Hamas,,na hata kuna kipindi hamas walikataa kumsaidia Assad huko syria,,wakawa wameside na nchi za kiarabu gulf countries kutaka kumpindua Assad,,iran wakakata mawasiliano,hadi baadae sana,hamas walikuja kuomba yaishe,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom