Hivi ni kweli mtu ku 'fall in love' au kuwa 'deep love' nyakati hizi kumesha pitwa na muda?

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†weee usiniambie...πŸ˜…πŸ˜…kwahiyo tuyajenge si ndioπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚
Ndiyooooo harufu ya bangi tunapulizia Gucci tu.
 
Kama kichwa kinavyo sema wakuu, kumekuwa na maneno mengi kuwa zile nyakati za mtu kupenda kupindukia zimesha pitwa na muda.

Eti wanadai siku hizi mapenzi yamekuwa bora liende tu ili kusogezeana siku tu.

Hii imekaaje wakuu kuna ukweli wowote hapa au ni maneno ya wahuni tu na walio kata tamaa ya kupenda /kupendwa? View attachment 1573225
I once thought like that until when I met my soulmate.
kama umekuwa ukikutana na wabomoa mioyo kweli hutakaa uamini kwenye mapenzi ya kweli na ya kufol dipu.
Ninaamini yapo mapenzi ambapo mtu anajikuta amekufa ameoza hana pa kutokea.
 
Tatizo linakuja pale ambapo unae mpenda kwa dhati yeye anakuchukulia poa tu. Raha ya mahusiano wote muwe in deep love
 
Si kweli kabisa.
kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tumjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise
Kwa hiyo baada ya kugundua hilo nini kilifuata mrembo?
 
Back
Top Bottom