Hivi ni kweli mtu ku 'fall in love' au kuwa 'deep love' nyakati hizi kumesha pitwa na muda?

halafu wewe kuna mtu nakufananisha nae......haki vilee.
asee ukipenda kwa kujistukia ujue ipo siku kweli uytatendwa.
me ngoja nibaki na ngosha wangu japo sijui kama kweli hatabadilika. akibadilika atajiju mwenyewe. me bora nitimize wajibu
Wakike wa hivi bado mpo tu.. mm e nlidhani walipotelea kwenye mv nyerere..
 
Back
Top Bottom