Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Kwahyo na wewe huwa unaenda kugongwagongwa.... [emoji12]
mwanamke asifiwi kugongwagongwa ovyo kwanza akigongwa gongwa ovyo anazidi kuzeeka na kuchoka tuu na kuwa mbaya zaidi kwaiyo mwanamke ckuzote atakiwi kucompite na mwanaume mwanaume tofauti na mwanamke kimaumbile...
 
Wana matatizo makubwa. Sio rahisi kwa akili ya kawaida... mwanamke wa kweli asiye na matatizo akakataa kuolewa na mwanamme aliyempenda kwa dhati??? Nehi...!!! Mwanamke aliyependa kweli huwa hakatai kuolewa na mwanamme wa chaguo lake... Labda tu kama ana "matatizo".

Na hii "matatizo" inakusanya mambo mengi sana... Labda hana K, au ni Shemale, au amekeketwa, au alishawahi kutendwa, au alishawahi kubakwa, au ana homoni za kiume, au..., au..., au..., yani ma au kibao

Daby njoo huku usaidie kuokoa jahazi. Mi ngoja nimalizie morning glory kwa huyu shemejio wa zamu kabla hajarudi kwa mwenyewe.
Swahiba huko tunaita KUJIONGEZA.

Ni sawa na mwanafunzi ambaye kwa vyovyote 0 AKA bashite lazima aipate kwenye pepa la mwisho kwa kusoma alama na nyakati Baadhi hukimbia na kuacha pepa kabla ya mtihani. Kwa lugha rahisi huwa WANAJIONGEZA kabla hayajawakuta.
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
[emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] inaonekana ww ni mmoja wao
 
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
 
Wala mungu hakumchukua da paprika,jamaa alimzingua sana bimkubwa kabla ya kuachana naye,vituko vingi,mpaka kumweka ndani kwa kesi ya kubambika na kipindi hicho anamtoto mdogo,akamtelekeza na watoto wawili tena wote wadogo,nahisi ile expirience ndio ilofanya mamdogo asitake tena kuolewa.

She is a strong woman indeed.saiz amekuwa bonge la tajiri ilhali aliyemtekeza hana hili wala lile
Oooh!!! Huyo aonja joto la ndoa kumbe! Mwanaume imekula kwake
 
Hamna kitu kama hicho. Ndoto kubwa ya mwanamke ni kuolewa tu tena na kidume mwenye fedha. Hali ikiwa tofauti there two things involved...Azae na dume lolote tu alee mtoto kivyake au Awe malaya mpaka uzee wake huku akipondea kuwa kuolewa si ujanja kama ref. [HASHTAG]#Kasie[/HASHTAG]
 
Wapo, mimi mke wangu hataki nimuoe, yeye ndiye aliyenipigia magoti na kuniomba kuwa mume wake. Amenioa na kila mmoja anaishi kivyake, ni miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
 
kiwatengu kiuhalisia kabisaaaa hakuna mwanamke ambae tangu anakua kwamba haitaji kuolewa, hata wanaume hakuna!! Tuliumbwa jinsia mbili kimakusudi kabisaaa, tunategemeana kwa kiasi kikubwa sanaaaa.

Sasa tukiachana na huo uhalisia kuna huu uhalisia mwingine kuwa kuna mambo mengi mtu anapitia ama kushuhudia mwisho anaamua asioe/asiolewe lkn hilo halikuwa target yake tangu awali.
 
Wapo wasiopenda kuolewa na hawa ni wale
1. Ambao wana uwezo wa kujitegemea
2. Wanapenda kujiamulia mambo hawapendi mwingine awaingilie
3. Wanapenda kula bata na wanaona maisha ya ndoa ni utumwa
4. Waliowahi kuumizwa na mapenzi
5. Hawajapata mtu waliyetokea kumpenda
 
Kwa sisi tuliobobea kwenye taaluma ya kuwafahamu wanawake...

Tumekuelewa kwa mapana yake... hasa hii kauli "wanawake wote walioolewa ni wanafiki"

Bonny jumuisha hii kwenye waraka wetu.
Ha ha ha ha hilo limembebwa kama Lilivyo itakaa kwenye dibaji kabisa kuwa wanawake walioolewa ni wanafik hii imekaa vzuri sana
 
Hawa watu kuwaelewa ni shida sana. Anaweza kusema "hapana" akimaanisha "ndio" afu akafanya hapana then akaja kujutia kufanya "hapana" badala ya "ndio"

You never know with women...

Cc: Bonny Raimundo
Bcc: emmyta Numbisa

Kwa taarifa na maandalizi ya uzinduzi wa waraka wetu baada ya Pasaka.
Kuna watu watatuharibia uzinduz tutawaweka mwishon kabisaaa
 
Back
Top Bottom