Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 585
[emoji3] nimekuelewa Dadawapo sana tu,
and i think they are REAL,
huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,
huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,
walioolewa wote ni wanafiki,
wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol