Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,558
16,713
Wakuu nauliza tu,

Hivi ni kweli wako wanawake wasiotaka kuolewa kabisa?

From their own will, hawataki kuolewa. Binafsi sijawahi kutana na mdada/mwanamke wa hivi. Wengi wakikosa wakuwaoa ndiyo wanajitengenezea mazingira ya kuponda kuolewa. Ninaamini wanaume wasiopenda kuoa wapo. Tujiulize kinabaubaga ni kweli kuna wanawake kwenye jamii zetu seriously hawataki kuolewa?
 
Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari. Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu.
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
 
Nafurahia napoona watoto wa marafki zangu,natamn niolewe nipate watoto wa ndani ya ndoa..!

Ukumbusho::: Jamn msijisifie zinaa,,msiwafurahie watoto wa zinaa,hakika ni kujitia matatzo mbele ya Mwenyezi Mungu ni dhima kubwa mno!
Vizazi vyenu vitahangaika kwa sababu yenu,ukizini na wa kwako ataziniwa.

Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
 
mmnh mwenzangu tactic yako kali, lazima PM yako ijae lol
 
Nafurahia napoona watoto wa marafki zangu,natamn niolewe nipate watoto wa ndani ya ndoa..!

Ukumbusho::: Jamn msijisifie zinaa,,msiwafurahie watoto wa zinaa,hakika ni kujitia matatzo mbele ya Mwenyezi Mungu ni dhima kubwa mno!
Vizazi vyenu vitahangaika kwa sababu yenu,ukizini na wa kwako ataziniwa.

Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
Kumbusha hakika ukumbusho utawafaa wenye kuamin.binafsi napenda watoto ila mda bado
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
Serious hutaki kuolewa?
 
Back
Top Bottom