Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Wapo kibao,naona kuna wadada dizaini flani hivi ndo wamefanya kama lifestyle flani hivi,yeye madhali anajimudu kiuchumia basi hataki kuolewa ila atazaa tu na HB mmoja alafu basi hapo mume anasahau
Aisee unajua anayekuambia hataki huyo ni wakumfikiria mara mbili mbili.
Inawezekana hajapata mwanaume aliyempendea
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
Kwahyo na wewe huwa unaenda kugongwagongwa.... [emoji12]
 
Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari. Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu.
Kwahiyo umeamua kuwafanya Wanawake Incubators
 
Nafurahia napoona watoto wa marafki zangu,natamn niolewe nipate watoto wa ndani ya ndoa..!

Ukumbusho::: Jamn msijisifie zinaa,,msiwafurahie watoto wa zinaa,hakika ni kujitia matatzo mbele ya Mwenyezi Mungu ni dhima kubwa mno!
Vizazi vyenu vitahangaika kwa sababu yenu,ukizini na wa kwako ataziniwa.

Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
[emoji121]
HII FURSA SIIACHI!

NGOJA NICHANGAMKIE TENDA HAPA.
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol

hao wanao fanya ivo wana matatizo yao, kugongwa kwa mwanamke sio sifa hata kidogo.
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol

Kenkereeeeenchede!!!

Umesema huwezi kukaa tu na Mtu (Mume) bila kumchoka......LABDA NI WEWE TU.

Wanawake wanaojiheshimu wanaishi na Mume mmoja sawasawa na maagizo ya neno la MUNGU na hakuna kuchokana ikiwa walikutana wanaofanana kama atakavyo Muumba wao......SAWA?


Kwahivyo yawezekana wewe usiyeweza hilo ndio MNAFIKI na sio Wote walioolewa ni Wanafiki kama ulivyowatukana walioolewa.


Halafu unashangaza kusema wanawake wanaowachoka waume zao ama wasio tayari kuolewa eti WANA AKILI.

Unaweza kujitetea vipi tusikuone/tusikuchukulie kuwa wewe ndiye usiye na AKILI?

Unaweza kujitetea vipi tusikuchukulie kama Uliyekata tamaa na labda kuzalishwa na kuachwa kisha wajaribu kutafuta sympathy via ua comments?


karibu.
 
Wapo wanaoamua kuishi hivyo au na mtoto mmoja tu ila wengi wanaofanya hivyo ni kutokana na circumstances kadhaa katika maisha:-

Mfano:-

-Wapo wanaomua hivyo pale ambapo wanakosa mwanaume mwenye sifa wazitakazo wao.

-Wengine ni kwasababu wanafikiri wakiolewa watakosa uhuru wa kula bata/ kufanya starehe

-Lakini kuna kundi lingine la wanawake linaamua hivyo kutokana na umri kusogea na hivyo wanaamua kuzaa mtoto, kwa kufanya hivyo kunawafanya kukosa wanaume wa kuoa kwani Wanaume wengi nao wanaogopa kuoa wanawake wenye mtoto/watoto wa baba mwingine.
 
h
Kenkereeeeenchede!!!

Umesema huwezi kukaa tu na Mtu (Mume) bila kumchoka......LABDA NI WEWE TU.

Wanawake wanaojisheshimu wanaishi na Mume mmoja sawasawa na maagizo ya neno la Mungu na hakuna kuchokana ikiwa walikutana wanaofanana kama atakavyo Muumba wao......SAWA?


Kwahivyo yawezekana wewe usiyeweza hilo ndio MNAFIKI na sio Wote walioolewa ni Wanafiki.


Halafu unashangaza kusema wanawake wanaowachoka waume zao ama wasio tayari kuolewa eti WANA AKILI.

Unaweza kujitetea vipi tusikuone/tusikuchukulie kuwa wewe ndiye usiye na AKILI?

Unaweza kujitetea vipi tusikuchukulie kama Uliyekata tamaa na kujaribu kutafuta sympathy via ua comments?


karibu.


haya mkuu pumua,lol

najua nimekugusa ndio maana umeona kuni attack ndio ninakostahili,lol

ni defence mechanism,

usijali naelewa,

lol

na sijakata tamaa na wanaume,

i have had relationships,some were long ,some were short,

life goes on,
 
wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol[/QUOTE]
mhn! mara nyingi wengi wanamaumivu ya ndani kutoka kwa maisha ya familia zao au jinsi wanaume waliowaamini walivyowatenda.
hivyo ushawishi wao wa kuolewa lazima wakutane na wanaume wenye muda wa kuwafatilia na kuinua upya hisia zao na kwa bahati mbaya wanaume hawa ni wachache sana kwakuwa soko huwa linawawahi mapema sana.
matokeo yake wanaweza kutoa msaada kwa dharura kwa mechi chachechache na sio kivilee kwa kuwa hawana uwezo wa kubembeleza wanawake wengi kwa kuwa kiasili sio waongo mimi sio mmoja wao msinisumbue!
 
Back
Top Bottom