Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

h

haya mkuu pumua,lol

najua nimekugusa ndio maana umeona kuni attack ndio ninakostahili,lol

ni defence mechanism,

usijali naelewa,

lol

na sijakata tamaa na wanaume,

i have had relationships,some were long ,some where short,

life goes on,
Hapana...wala hujakaribia kunigusa mimi...but in most cases wapo ambao utakuwa umewagusa I'm sure, coz hii forum ina wanawake walioolewa wengi

Once u say like

"Wote walioolewa ni Wanafiki"

unakuwa umewatusi wengi.

Welcome,
 
i am sorry kama nimegusa hisia za watu,

but im not going to change my views about this,lol

i am not going to comment any further kwenye huu uzi,byeeeeeeeeee lol.
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
Hv umesema walio olewa ni wanafiki ama sijakusoma vzr
Hahahahahaaaa Sungura!
 
Nafurahia napoona watoto wa marafki zangu,natamn niolewe nipate watoto wa ndani ya ndoa..!

Ukumbusho::: Jamn msijisifie zinaa,,msiwafurahie watoto wa zinaa,hakika ni kujitia matatzo mbele ya Mwenyezi Mungu ni dhima kubwa mno!
Vizazi vyenu vitahangaika kwa sababu yenu,ukizini na wa kwako ataziniwa.

Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
Umenena
 
Kuna wanawake wa hivyo mkuu!!!
.... Mwingine anaweza akawa ameathirika kisaikolojia kwa kuina ndoa ya wazazi wake ilivyo hovyooo
Au alikua abused na wanaume miaka ya nyuma
.... Sometimes mwanamke ana matatizo... Kama matatizo ya uzazi na ana uhakika kibaiolojia hawezi beba mimba.. Kujiepusha mateso toka kwa mume na wakwe anaamua kuto olewa kabisa
.... Wengine ni mfumo wa maisha tu aliochagua!!!
 
Ila ukimuona mwanamke hajaolewa na anazaidi miaka 35 ujue yule ni ibilisi mkubwa!
Na maisha yake yote ni ya kishetani shetani! Hafai kuigwa
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
Daah!

Umeandika uchungu mtamu.Kuishi maisha yako bila kumchoka mwenzi ni UNAFIKI?.
 
well mkuu,ni sacrifice mmoja awe mnafiki ndio mtadumu,lol sasa wengine hawawezi kusacrifice,ndoa ni wito mbona hamtaki?lol
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
kugongwa😀😀😀
 
maza ako alikua hana akili pia??
 
i am sorry kama nimegusa hisia za watu,

but im not going to change my views about this,lol

i am not going to comment any further kwenye huu uzi,byeeeeeeeeee lol.
Okay...usijal mtoto mzuri.
 
Nafurahia napoona watoto wa marafki zangu,natamn niolewe nipate watoto wa ndani ya ndoa..!

Ukumbusho::: Jamn msijisifie zinaa,,msiwafurahie watoto wa zinaa,hakika ni kujitia matatzo mbele ya Mwenyezi Mungu ni dhima kubwa mno!
Vizazi vyenu vitahangaika kwa sababu yenu,ukizini na wa kwako ataziniwa.

Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
Una umri gani wewe?
 
Back
Top Bottom