Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

kiwatengu kiuhalisia kabisaaaa hakuna mwanamke ambae tangu anakua kwamba haitaji kuolewa, hata wanaume hakuna!! Tuliumbwa jinsia mbili kimakusudi kabisaaa, tunategemeana kwa kiasi kikubwa sanaaaa.

Sasa tukiachana na huo uhalisia kuna huu uhalisia mwingine kuwa kuna mambo mengi mtu anapitia ama kushuhudia mwisho anaamua asioe/asiolewe lkn hilo halikuwa target yake tangu awali.
Ok.
BTW i was looking for you!!
 
Swahiba huko tunaita KUJIONGEZA.

Ni sawa na mwanafunzi ambaye kwa vyovyote 0 AKA bashite lazima aipate kwenye pepa la mwisho kwa kusoma alama na nyakati Baadhi hukimbia na kuacha pepa kabla ya mtihani. Kwa lugha rahisi huwa WANAJIONGEZA kabla hayajawakuta.

Ewaaa na hawa wanaojiongeza ndo wanafaa sana kusajiliwa kwenye chama chetu.

Hatutawaangusha... not to zat extent
 
Ni kwanini baadhi yenu huwa mnapenda kugeneralise issues?

Na je ikiwa mwanaume dudu yake inajulikana kwa mke wake wa ndoa tu, bado hamna Ndoa hapo?

Ni wanaume wangapi unaojua kuwa wadudu wao wanajulikana hadi kwa dada wa kazi?
shida ni kwamba wengi wenu ni zipu mkononi
 
Bila shaka ni miongoni mwa waliotendwa.....ike sizitaki mbichi hizi inaonekana kwa mbaaaalii!!
wala sijatendwa! ukweli unabaki palepale wengi wenu hamjui maana ya ndoa. unaingia katika ndoa wakati bado unatamani ubachela mnazeesha tu watoto wa wenzenu
 
Hakuna asiyependa kuolewa huu ndio ukweli,ukisikia mtu ana chukia kuolewa jua alisha olewa au amecheza sana rafu badae akiumizwa ndio anakuja na kauli zinazo hashiria hataki ndoa ila mioyoni mwao wanakua wanajua ukweli ni upi,
 
Wengi hufuata mkumbo wa kipropaganda na hilo ndio tatizo.
But naturally hakuna mtu anayependa kuishi mwenyewe.

Mwanamke/mwanaume tokea akiwa mtoto dream zake ni kuwa na mke/mume. Mambo huweza kubadilika baada ya kupata athari za kifamilia, kijamii n.k.

Wote wanaosema hivyo au wenye misimamo ya hivyo wanaathari na si kingine.

Hakuna mwanadamu anayeweza ishi pekeake bila mwenzi akiwa timamu.

Kuishi pekee kuna stress zaidi kuliko kuwa wawili hata mwenzako awe mgomvi kiasi gani.

Kuishi mwenyewe ni dalili ya kulisogelea kaburi. Kuishi mwenyewe ni ufungwa kuliko kuwa wawili.

Hayo mengine ni porojo.

Maisha ya mabachela yanatiaga huruma Sana. Wengi huishi kishetani. Huvunja sheria nyingi za Mungu. Hugombanisha ndoa za watu. Huleta watoto wasio na malezi ya Baba na Mama.

Ni machafuko tuu
Umeongea kitu cha msingi kweli.
 
ni kweli wapo
ila wengi wao ni wale walioumia either kwa maumivu ya mzazi wake wa kike kulalamika juu ya baba, au kufanyiwa kitendo cha ukatili akiwa mdogo ivyo uchukia waume wote, au awe na matatizo au kufanyiwa mila fulani kama kukeketwa ivyo akija kwenye mazingira ya mchanganyiko wasiopenda kitendo icho huwa na hofu mwishowe anaona bora aishi mwenyewe kupunguza kero.
na wengine ni kutokuweza kupata wa kuwaridhisha kimoyo na kimapenzi.
wengine ni kutokana na elimu zao na kutotaka kuwa chini ya mwanaume anataka afanye mambo zake tu.
 
Thubutuuuu!!!!
Hawa hawajapata watu sahihi.
 
Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari. Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu.
[emoji24] [emoji24] [emoji24]
We Jamaa wewe
 
Back
Top Bottom