Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kila la kheri bro.. kadi muhimu napiga vilau na pombe balaaaHapana siwasukumizi ila wao wameonesha nia hivyo sina budi
Kila la kheri bro.. kadi muhimu napiga vilau na pombe balaaaHapana siwasukumizi ila wao wameonesha nia hivyo sina budi
Hahahaha wewe kiboko walahi...Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari. Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu.
Mkuu uko Too General....what if hajapata mtu ambae ameonesha nia ya kumuua alazimishe!????Ila ukimuona mwanamke hajaolewa na anazaidi miaka 35 ujue yule ni ibilisi mkubwa!
Na maisha yake yote ni ya kishetani shetani! Hafai kuigwa
Sijawaelewa vizuri hapo kwenye kumchoka mwenzako Yani inakuwa kwamba kama vile amepungua ladha halaf anataka kadha tofauti hv or!???.Daah!
Umeandika uchungu mtamu.Kuishi maisha yako bila kumchoka mwenzi ni UNAFIKI?.
Bila shaka ni miongoni mwa waliotendwa.....ike sizitaki mbichi hizi inaonekana kwa mbaaaalii!!siku hizi ndoa wala si heshima...kuna heshima gani mume kila mtu anajua mdudu wako ulivyo mpaka dada wa kazi ptuuuu
Watu wanatafuta good sex na sio true love. [emoji23] [emoji23] [emoji23]siku hizi ndoa wala si heshima...kuna heshima gani mume kila mtu anajua mdudu wako ulivyo mpaka dada wa kazi ptuuuu
Vileo muhimu mkuu wala usikonde nenepa tuKila la kheri bro.. kadi muhimu napiga vilau na pombe balaaa
Achunguze nyendo zake haiwezekani afike 35 awe hajapata mtu, hapo itakuwa tatizo lipo kwake tuMkuu uko Too General....what if hajapata mtu ambae ameonesha nia ya kumuua alazimishe!????
Weka vizuri maneno yako.
Hajabahatika Sio Kama Hakutaka Kuolewa Na Wengi Wao Wanaumia Sana Kwa Hali HiyoIla ukimuona mwanamke hajaolewa na anazaidi miaka 35 ujue yule ni ibilisi mkubwa!
Na maisha yake yote ni ya kishetani shetani! Hafai kuigwa
[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] huyu jamaa sio kabisaKwahiyo umeamua kuwafanya Wanawake Incubators
Mkuu uko Too General....what if hajapata mtu ambae ameonesha nia ya kumuua alazimishe!????
Weka vizuri maneno yako.
hii mpya kwangu...naomba niichukue madame itanifaa kwa matumiz ya baadaeni choice ya mtu,na sifa kwako sio sifa kwa mwingine.
Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari[/red] Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa MtuWapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari. Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu.
Tupo sizitaki mbichi hizi, baada ya kuruka tena na tena mbivu usipozifikia.
Wapo kabisa. Kuna watatu nimewapa ujauzito na mmoja wao amejifungua tayari[/red] Wanasema hawako tayari kuishi na wanaume lakini wapo tayari kuzaa na wanaume wanaopenda watoto, na kuliwa pale wanapojisikia wao. Nawafaudu sana hawa huku nikiwahamasisha wanawake wengine kuishi hivyo. Ila wawe na elimu na kazi za kuweza jitegemea. Maana mie Mume wa Mtu