Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,980
Hawa watu kuwaelewa ni shida sana. Anaweza kusema "hapana" akimaanisha "ndio" afu akafanya hapana then akaja kujutia kufanya "hapana" badala ya "ndio"Serious hutaki kuolewa?
You never know with women...
Cc: Bonny Raimundo
Bcc: emmyta Numbisa
Kwa taarifa na maandalizi ya uzinduzi wa waraka wetu baada ya Pasaka.