Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Hivi ni kweli kuna wanawake wasiotaka kuolewa?

Labda ambao sio straight kama malesbian na ambao umri umeenda sana unakuta anataka wa kuzaa nae tu
 
Mamaangu mdogo toka ameachana na mumuewe. Miaka ya tisini mpaka leo yuko singo,ana watoto wawili na kawalea na kuwasomesha mwenyewe mpaka wanamaliza hela anayo,muonekano anao,ila nahisi alichofanyiwa na mumewe wa zamani ndo kimemfanya hataki hata kusikia mambo ya ndoa.Tuchunge sana mambo tunayowafanyia binaadamu wenzetu,mengine athari zake ni kubwa na za muda mrefu
 
Hata humu ndani MMU wapooo....ukibisha nawataja ( Kwa sauti ya Ney wa mitego)


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
siku hizi ndoa wala si heshima...kuna heshima gani mume kila mtu anajua mdudu wako ulivyo mpaka dada wa kazi ptuuuu
Ni kwanini baadhi yenu huwa mnapenda kugeneralise issues?

Na je ikiwa mwanaume dudu yake inajulikana kwa mke wake wa ndoa tu, bado hamna Ndoa hapo?

Ni wanaume wangapi unaojua kuwa wadudu wao wanajulikana hadi kwa dada wa kazi?
 
Tupo sizitaki mbichi hizi, baada ya kuruka tena na tena mbivu usipozifikia.
tapatalk_1489740281952.jpeg
 
Jambo la ajabu ni kwamba.....
Walio ndani ya ndoa (ndoano) wanatamani kutoka, na walio nje ya ndoa (ndoano) wanatamani kuingia.
Zaidi misjui, ebu ngoja waamke kwanza
 
Namalizia kuwaoza masista kwanza ndipo nami namalizia kona
Upate mahari [emoji16][emoji16]
Au umewafnya chambo watu nooma nyie. Yaani unawasukumiza dada zako na wewe umebaki
 
wapo sana tu,

and i think they are REAL,

huwezi kukaa na mtu kila siku za maisha yako bila kumchoka,

huu ni UNAFIKI wa hali ya juu,

walioolewa wote ni wanafiki,

wanawake siku hizi wana akili,kama wanaume wanavyogonga hovyo,wanawake pia wana maamuzi ya kugongwa,afu kila mtu aende na zake,lol
Na we ni mmoja Wao nn kwenye hicho Kipengele cha mwisho mana naona umeongea kwa kujiamini sana...
 
Back
Top Bottom