Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Kuna mmoja ana viashiria hivyo hapo juu kwangu huyo bwana alivyovitaja hivi huenda ni kweli uachokisema Valentina?Ukiona anaringa jua bado hajavutika kwako
Kweli mkuu mbona hata hizo swaga hayupo tayari ni mwambie anakatisha mbimbio maongezi akiona naelekea huko kumtongoza?May be hauna swaga
Inamaana gani mkuu kwenye hii sentensi yakoUshaongopewa mkuu to me 90% of girls ni ma loseball utakuwa unafanyiwa acting
Zege alilali au sio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm demu nikimtongoza leo hii hii lazima nimpate
To be compared again?ukizungushwa ujue anacompare btn you na wa background
Mimi nina mkono wa birika ila kama hiyo picha hapo kwenye avatar yako ni wewe kwa kweli huu mkono wangu wa birika nautupilia mbali kuanzia leo![emoji30]Una mkono mrefu au wa birika?
Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Maana yake hata unprofessional anaweza kufunga bila kutumia nguvu...Inamaana gani mkuu kwenye hii sentensi yako
Wapo ndani ya yesu na wanaringa na yesu ndio maana mkuu wanguWakuu,