vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,497
Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!