Kuna njia nyingi za kupata mtaji wa kujiajiri. Ungekua mtu wa kukuna kichwa na kufikiria ungezijua hizo fursa.
zitaje ili wadau wazichambue
Kuna njia nyingi za kupata mtaji wa kujiajiri. Ungekua mtu wa kukuna kichwa na kufikiria ungezijua hizo fursa.
zitaje ili wadau wazichambue
Serikali haina hela ya kuunda bank nyingine. isome namba wakati unasubiri mil. 50 kila kijiji.Mtu anayekwambia ujiajiri wakati hakupi mtaji,hakupi mkopo wala ushauri mpige kofi ondoka zako
Nb:SERIKALI IUNDE BANK MAALUMU YA KUKOPESHA VIJANA WASOMI WANAO MALIZA CHUO
Wananikeraga,eti wasira nae anasema tujiajir
Sema vijana mliosoma siyo VIJANA WASOMI kuna tofauti kubwa sana hapo!Mtu anayekwambia ujiajiri wakati hakupi mtaji,hakupi mkopo wala ushauri mpige kofi ondoka zako
Nb:SERIKALI IUNDE BANK MAALUMU YA KUKOPESHA VIJANA WASOMI WANAO MALIZA CHUO
Sasa amekusaidia nini au unachunga ng'ombe wake nini???Mimi kamwe sijutii kura yangu kwa Lowassa.
swissme
Aisee kweli bora uwe mpiga debe standTena unakuta mwengine anafundisha kabisa somo la Marketing na ni lecturer mzuri kabisa..... lakini hata kiduka hana
Ameshaenda kupumzika baba wa watu!! Bila Shaka amekuja jembe unayemkubali sasa!! Ajira kibaoserikali ya KJ 2005 ndio chanzo cha haya yote...
siamini kabisa kwamba nchii hii na maliasili zote, inaweza kuwa na wimbi kubwa kiasi kwa raia wake kuwa unemployed..!
KJ 2005 kasoma economics, lakini anajadili taarabulism tu serikalini....
Kuna njia nyingi za kupata mtaji wa kujiajiri. Ungekua mtu wa kukuna kichwa na kufikiria ungezijua hizo fursa.
Hatuta fikia hitimisho kwenye hili...ila niseme ivi..ujinga kukataa ushauri wa kujiajiri kisa alioutoa ni mhajiriwa.
Well saidKama wewe huna ajira na una lalamika haupati kazi, una lalamika kila siku kwamba ofisi zina upendeleo kwenye kutoa ajira kwa nini usijiajiri? Kujiajiri ni mbadala wa kuajiriwa. Mwenzako kama kaajiriwa ina maana hana tatizo la ajira kama asio na ajira kabisa. Ila mwisho wa siku mtu anaweza kukushauri tu ila wewe ukiona upambane na kutafuta tu ajira go ahead its up to you ila kama mtu huna ajira kabisa ni vizuri kufikiria pande zote (ajira na kujiajiri).
Pole sana kwa ufinyu wa mawazo,we endelea kung'ang'ana na vyeti na kutaka mtaji mkubwa,huyo unaemwita la saba atakuacha mbali sana kwa kuanza na mtaji ambao kwako ni mdogo,ndo tatizo la nyie mnaojiita wasomi mnadharau sana vitu vidogo ambavyo vina faida kubwa kisa eti una kaelimu ka chuo ko unataka kama ni biashara iwe kubwa jua hata mbuyu ulianza kama mchicha.Inategemea unamwongelea mtu wa level gani ya elimu. Tatitizo la ajira maana yake nini? Mtu wa chuo akitaka kujiajiri lazima mtaji uwe mkubwa kidogo ukilinganisha na darasa la saba hata kama wote wanamawazo sawa ya fursa. Kazi zingne za kujiajiri ni za kipuzi sana tusishushe sana elimu ya kibongo hata kama haiwafanye vijana kujiajiri.