Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

We mwanapropaganda unazungumzia watoto wa raisi sijui waziri hao tayari hela zipo wazazi sana nafasi ya kuwapa ajira popote wapendapo wewe pangu tia ndo jiongeze kama huwezi jiajiri sio kulialia utasubili sana ukitaka kuajiriwa kuwa mpole tembeza bahasha taaratibu
 
Back
Top Bottom