Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,320
- 126,976
Mie nilikumbuka ule usemi wako kwamba tutakutana tena around ukimaanisha majukwaani na ndio sababu nikajiandikia vile.Walaaa hata yeye Mwifwa amejiongeza tu kwa nafasi yake.. mimi nilisema tu tutakutana sikuspecify, wewe ukaniwahi hahah
Na ndio ulivyokuwa ukimaanisha rafiki si ndio? [emoji12]