Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Mkono nenda kanisani. Huo ni ushamba kwan had kushikana ndo salam itasikika, hata men waliostarabika hawapendi huo upuuzi
 
Wengne mmetoka shika dudu zenu hamnawi au mmejipokoa mapua mi ywa sshkan mkono
 
Wala don't take it personal, tena shkuru.

Kuna fake hair, zinawashwa zinakunwa.......

Kuna fake nails, zinapita sehemu nyingi.....

Ah, naishia hapa.
 
Back
Top Bottom