Wewe unajua hizo sehemu zinavyo hifadhi mijasho wewe unaku unakuja kuwalisha dada zako magonjwa na kumbuka wale wanafuga kucha mtu ni afya mikono kashikane na mkeoHizo hazina shida yoyoye hata mtu akizikuna maana hakuna sehemu zilipotoboka
Wewe unajua hizo sehemu zinavyo hifadhi mijasho wewe unaku unakuja kuwalisha dada zako magonjwa na kumbuka wale wanafuga kucha mtu ni afya mikono kashikane na mkeoHizo hazina shida yoyoye hata mtu akizikuna maana hakuna sehemu zilipotoboka
Mpaka ukune mapumbu ina maana wewe ni mgonjwa wa magonjwa ya ngozi utamaduni wa kushikana mikono haupo tena siku hizi kuna magonjwa mengi ya kuambikiza hususani yale ya ngozi na kuharaKuna haja kubwa ya kila jinsia kujua jografia ya maumbile ya jinsia nyingine maana nanona huyu mwanadada anafikiri kwamba huko kumetoboka kabisa na mtu akikuna anagusa tissue za ndani kumbe ni sawa sawa tuu kama amekuna kichwa au mgongo tuu
[emoji23][emoji23] Rungu tena? mweeeeYaaan mie sipendi labda umetoka chooni umeshika lungu lako unawi uje tu unishike mkono khaaaaaaa HAPANA TAKA
zoea kuwakumbatia sio mikono.Habari wakuu, katika mishemishe zangu za siku zote huwa ninabahati sana ya kukutana na warembo, ila shida kila nikitaka kuwasalimia kwa ukaribu yaani kushikana mikono huwa hawataki ,hivi ni kwanini au ni Mimi Mwenye mkosi katika sayari hii
nyie wenyewe mnashika vingapi tunavumilia tu kama hatujui vileYaaan mie sipendi labda umetoka chooni umeshika lungu lako unawi uje tu unishike mkono khaaaaaaa HAPANA TAKA
Kkkkkkkkkkkkk nimecheka sanaHizo hazina shida yoyoye hata mtu akizikuna maana hakuna sehemu zilipotoboka