Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Ni warahisi sana kukwepesha kupewa mikono kuliko hug(Kumbatio)

Siku nyingine mkumbatie moja kwa moja, ila usiende kwenye makalio au kiuno kwa mara ya kwanza, kitakachokukuta...


cc: mahondaw
 
Hahaaaa. Duuh.

Hhaaa. Mkono unatosha. Ila umeniweza duuh. Haya bana.

Mzima lakini?
Mimi mzima! Natumai u mzima pia na mwenye furaha kama ilivyo kawaida yako(avatar inasadifu), nitajiongeza mimi kwa kumbato. Surprising attack haha
 
Hahaaa. Hakuna nafuu hapo.

Kukumbatiwa kuna hadhi yake sasa kila mmoja aifanye ndio salamu hiyo mmh. Hapana aiseee.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mie pia sijambo kabisa kama usemavyo emmy muda wote ni mtu wa furaha tele.

Hahaaa. Hiyo itakuwa zaidi ya kujiongeza.

Haya uwe na siku njema yenye kila la kheri.
Asante sana, Na kwako pia. Sina hofu najua tutakutana tu
 
Back
Top Bottom