Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Hivi ni kwanini wadada wengi hawapendi mikono

Habari wakuu, katika mishemishe zangu za siku zote huwa ninabahati sana ya kukutana na warembo, ila shida kila nikitaka kuwasalimia kwa ukaribu yaani kushikana mikono huwa hawataki ,hivi ni kwanini au ni Mimi Mwenye mkosi katika sayari hii

Watakua wanataka kumbato
 
Katika viungo vyote vya binadamu mikono ndio ndio inaongoza kwa uchafu
 
Mkono nenda kanisani. Huo ni ushamba kwan had kushikana ndo salam itasikika, hata men waliostarabika hawapendi huo upuuzi

Kusalimiana kwa mikono ni ushamba tangu lini?

Watu waliostaarabika hawasalimiani kwa kupeana mikono?
 
Wengine huwa wanasema wana udhu, hivyo haiwapasi kusalimiana kwa kupeana mikono na jinsia Me.
 
Back
Top Bottom