Umenikumbusha Kijijini Aseee ...Unakuta jitu linakula msosi mkubwa kama mombeView attachment 3696709
Kama nawewe ni mwafrika basi sio waafrika wote wanakula sana.Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Wa Africa Wote Wanakula Sana Aseee....Kama nawewe ni mwafrika basi sio waafrika wote wanakula sana.
Haha unakula kama wafungwa wa Al Jazeera utapata magonjwa ya ajabu ajabuMimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Upo sahihi. Wamarekani nakubaliana.Si kweli
Labda wamerekani! Si unaona miili yao!