Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

Udom ,no chuo bora na elimu yake ni bora zaidi nilivyo kuwa mtaan kabla ya kujiunga na huo hiki nami niliamini hivyo lakini so kweli hapa ni kazi tuu haina kulemba ,kama unabisha njoo ujionee au Fanya research fupi utapata majibu,, kumbuka anae dharau chuo hiki hajielewi kabisa ama ndo wale wanao linganisha chuo kimoja na kingine na hawana logic ya msingi binafsi.
 
Tatizo la Udom linawezakua na ukosefu wa walimu wa kutosha ukilinganisha na idadi ya wanafunzi waliopo,wangeajiri waalimu kutoka nje ya nchi zilizoko vizuri kielimu ya juu ili kupata waalimu wa kutosha ili wazalishe waalimu watanzania.Miaka fulani ya nyuma UDSM walikua na waadhiri kutoka nje ambao waliwazalisha hawa waliopo sasa hivi.Cheap is expensive.
 
Naipenda Udom na naomba Mungu nichaguliwe Udom pamoja na mapinduzi yote ya serikali omni langu kwa Mungu naomba nipangiwe Udom...km lilivyo jina lng nna uhakika ntachaguliwa Ameen! Heshima ni kitu cha bure..usidharau cha mwenzio
 
Acha zako nani kakwambia udom haina walimu wa kutosha ,udom IPO vizuri mno tens mno kuliko hata hivyo vyuo mnavyo visifia ,waulizeni wale wenzenu walotoka st. Joseph na GPA kubwaaaa kilicho wakuta pia naomba yeyote anajiita mwana UDSM ama anae dharau hiki chuo ache hapa chuoni walau a some hats wiki moja tuu then ajioneee , kisha afanye comparison na huko atokako ,,UDOM in chuo safi,bora na imara kumbuka dharau zngine hazna msingi
 
Karibu saaaana #mtegemea mungu ,hiki ni chuo bora kielimu na hata ramani yake imetulia achana na hivyo vijichuo vya uchochoron ambavyo wanasoma mpaka kozi ambazo hawana msingi nazo yaaani mtu hajawahi kusoma kifaransa o'level ila analazmishwa kusoma chuo kikuu duuu hii hatari yaani eti mtu ana soma kozi 11 khaaaa ,karibu UDOM kozi nane hadi Tisa zenye kiwango na huto juta full maarifa na malecturer wazuri wasio na mbwembwe ambao wana piga pindi had I unajisikia burudaaaani ila msuri ni speed balaaa sio mwendo wa kinyonga plz karibu UDOM hutojuta
 
Ni bonge la chuo ambalo ukienda na idea ya chuo bata unarudi kwenu. Nilipoona hapa vijana takribani mia wamedisco kwa kutofika GPA stahiki nikajua hapa si pa kawaida. Acheni kabisa udom panapigwa shule duh. Naheshimu vyuo vyote Tanzania na duniani na nakipenda chuo changu udom.
 
Mkimaliza chuo baada ya miaka 3 mtaani najua mtarudi hapa either kwa different ODs or hizihizi
Karibu saaaana #mtegemea mungu ,hiki ni chuo bora kielimu na hata ramani yake imetulia achana na hivyo vijichuo vya uchochoron ambavyo wanasoma mpaka kozi ambazo hawana msingi nazo yaaani mtu hajawahi kusoma kifaransa o'level ila analazmishwa kusoma chuo kikuu duuu hii hatari yaani eti mtu ana soma kozi 11 khaaaa ,karibu UDOM kozi nane hadi Tisa zenye kiwango na huto juta full maarifa na malecturer wazuri wasio na mbwembwe ambao wana piga pindi had I unajisikia burudaaaani ila msuri ni speed balaaa sio mwendo wa kinyonga plz karibu UDOM hutojuta
 
Chuo cha CCM kile.....madudu matupu....naibu mkuu wa chuo ni kada na anapokea maagi9 ya makada wenzake wakina baba jesi-kha
 
Back
Top Bottom