Gazeti la leo la Jamboleo limebaba habari kuu kwenye ukurasa wake wa mbele yenye kichwa cha habari kifuatacho:
"Serikali yawabaini v.ilaza 300 UDOM".
Mimi si mwandishi ila nyie mliosomea uandishi hivyo ndivyo mlivyofundishwa?
Kama mmeamia kuripoti kauli za mkuu kama zilivyo,kwanini hamkuja na heading kubwa kuhusu kauli yake juu ya majambazi?
Mtoa mada ni mwongo, na sijui kwa nini usishtakiwe kwa makosa ya mtandao...Japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani Afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. Kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira ni kwamba "asiwe amehitimu kutoka Udom.
c dhan kama ni xahh, watu wengi wana ulemavu wa akili,ndo maana wanaongea vitu visivyo stahlLabda wahitimu wake wengi wanakuwa "Mapoyoyo" makazini......
Na akina Mwl frank msigwa jee nauliza tu wanatokea wapi..Mbona wahitim wa UDOM mapovu yanawatoka sana kwenye hii mada? ila ukwel utabak pale pale UDOM chenga tupu
Komaa utatoka!Mwalim was field akija shuleni kwangu simpi somo langu maana wengi wa wanafunzi wa udom hawajui kufundisha,,,,,,, wana pollute wanafunzi tu yan,,
Ningependa kujua shule yako inaitwajeMwalim was field akija shuleni kwangu simpi somo langu maana wengi wa wanafunzi wa udom hawajui kufundisha,,,,,,, wana pollute wanafunzi tu yan,,
Genda sec mbulu manyara ,,,Ningependa kujua shule yako inaitwaje
Mkuu nakusapotihy jamaa hn aibu juz tu nmeona hp chuo kimetoa mwnfunz bora africa? kuna umhm wa mtu anaepost hm kupimwa akl kwanza!
Why put GOD's name on this, are you looking for a sympathy? Just make strong arguments to support your University (UDOM) status.KIFUSO,UDOM ya 2007 siyo hii ya sasa,UDOM inakua kwa kasi jaman tuongee ukwel chuki binafsi c nzur,mwogopeni Mungu !
Kama unalo tusaidie kuwekaLilikuwa la world vision. .. lilikataa applicants kutoka UDOM na MUM...