Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Ukitaka kunywa bia za bure kutoka kwa mjinga muite MKUU.
Ukitaka kumpata mwanamke wa kijaluo kirahisi muambie yeye Ni MWEUPE.
Ukitaka kumpata mwanamke wa kingoni kirahisi mwambie yeye Ni MREMBO.
Last but not least, UKIWA BAR ukaona MTU anakusifia aidha kwa kukuita mkubwa, boss, chifu, kiongozi, sheikh, mtumishi, ustaadh kaa mbali Sana na huyo mtu.
Na ninyi wanawake ukiona MTU anakusifia una chura ilhali unajijua huna hicho kitu au akakuambia wewe Ni MREMBO ilhali sura yako Ni very personal ujue Kuna uwezekano wa kupewa mimba ambayo mtia mimba ataikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom