Hivi ni kwanini jina la ubini / ukoo linatumika la baba?

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,401
Reaction score
7,900
Mama ana kazi nzito tangu alivyobeba ujauzito kujifungua mpaka kulea ni yeye ndo anaye play big part kwanini ubini usitumike wa kwake mfano Asha Rose Migiro.

Kuna kabila wanatumia ubini wa mama jina limenitoka kidogo nikikumbuka nitaliweka hapa ila most of us tunatumia ubini wa baba kwanini?

Mama ana majukumu mazito sana alipaswa kupewa heshima kwa kutumia ubini wake.
 
Mungu alimuumba binadamu mwanaume alimuumba kwa mfano wake alimuumba mwanadamu. Kwa mfano wake alimuuba Adam. Adam aliishi bustani ya Eden peke yake, akiishi pale bustanini Adam aliwaona wanyama wafananao wakiwa wawili wawili, akajiuliza kwanini yeye yuko pake yake, akasononeka sana. Mungu akamlaza usingizi mzito akatoa mfupa katika ubavu wake wa kushoto na nyama zake akamuumbia msaidizi wake. Adam alipokua akitembea bustanini akamuona binti mzuri akavutiwa naye,, akamwambia wewe ni mwanamke u-nyama katika nyama zangu, u-mifupa katika mifupa yangu.

Hii kubeba mimba na kuzaa kwa uchhhungu sana iliamuriwa na Muuungu mwenyewe alipomwambia kwa kwa ulidanganywa na nyoka ukala tunda la mti nililowakataza msile ondoka hapa bustanini kwa uchungu utazaa watoto na kasha baada ya kuzaa tama yako itakuwa kwa mumeo.

Soma

Mwanzo 3

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?

2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;

3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.

4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.

6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.

7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo.

8 Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.

9 Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?

10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.

11 Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?

12 Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.

13 Bwana Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.

14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;

18 michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;

19 kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.

20 Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.

21 Bwana Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.

22 Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;

23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.

24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
 
Acha iwe hivyo na hivi wanawake siku hizi wanauwezo kiuchumi wanaume wangeonekana mauseless kabisa acha baba apewe heshima yake. Kuna mdada mmoja hawa wa dot.com kazaa wtt wawili mwanaume kamletea ujinga kamfukuza anaishi na watoto anawasomesha na kuwatunza mwenyewe kawabadilisha majina wanatumia ya kwake yeye mbaba kujua kumuuliza kwa nini kachange majina ya wtt? Akajibiwa kama kuzaa hata mbwa anazaa na haitwi baba sasa wewe unataka nini na haupo kwenye maisha yao na huwatunzi kamwambia nenda kaulize maana ya baba halafu uje kuniuliza kwa nini nimechange majina!!
 
Mama ana kazi nzito tangu alivyobeba ujauzito kujifungua mpaka kulea ni yeye ndo anaye play big part kwanini ubini usitumike wa kwake mfano Asha Rose Migiro.

Kuna kabila wanatumia ubini wa mama jina limenitoka kidogo nikikumbuka nitaliweka hapa ila most of us tunatumia ubini wa baba kwanini?

Mama ana majukumu mazito sana alipaswa kupewa heshima kwa kutumia ubini wake.

ivi huu utaratibu unatumika duniani kote?

baba ndo kichwa cha familia!
 
Acha iwe hivyo na hivi wanawake siku hizi wanauwezo kiuchumi wanaume wangeonekana mauseless kabisa acha baba apewe heshima yake. Kuna mdada mmoja hawa wa dot.com kazaa wtt wawili mwanaume kamletea ujinga kamfukuza anaishi na watoto anawasomesha na kuwatunza mwenyewe kawabadilisha majina wanatumia ya kwake yeye mbaba kujua kumuuliza kwa nini kachange majina ya wtt? Akajibiwa kama kuzaa hata mbwa anazaa na haitwi baba sasa wewe unataka nini na haupo kwenye maisha yao na huwatunzi kamwambia nenda kaulize maana ya baba halafu uje kuniuliza kwa nini nimechange majina!!

wanawake wenye pesa wana matatizo sana!
 
wanawake wenye pesa wana matatizo sana!

Hata sokwe angemeliki pesa angekuwa na kiburi! Pesa inaleta kiburi sana hasa kwa wanawake ambao wanaona wanauwezo wa kijitegemea bila stress za wanaume looh! Kuna mabadiliko sana dunia ya sasa wengine tunashangaa tu!
 
Acha iwe hivyo na hivi wanawake siku hizi wanauwezo kiuchumi wanaume wangeonekana mauseless kabisa acha baba apewe heshima yake. Kuna mdada mmoja hawa wa dot.com kazaa wtt wawili mwanaume kamletea ujinga kamfukuza anaishi na watoto anawasomesha na kuwatunza mwenyewe kawabadilisha majina wanatumia ya kwake yeye mbaba kujua kumuuliza kwa nini kachange majina ya wtt? Akajibiwa kama kuzaa hata mbwa anazaa na haitwi baba sasa wewe unataka nini na haupo kwenye maisha yao na huwatunzi kamwambia nenda kaulize maana ya baba halafu uje kuniuliza kwa nini nimechange majina!!

Kimsingi wadada wa mawazo kama hayo wapo wengi ila huwa wanasahau jambo 1 kuwa mtt hana ufanani wa damu na mama hyo ni dunian kote, hvyo ukitaka ku justify mtt lazima utumie DNA ya BABA, so huyo mama na wengine wote mtt hatambuliki kwa mama ila kwa baba

Pia ni agizo la MUNGU, kwamba watt watambuliwe kwa ukoo wa kiume,
 
Kama wengi wa wanawake wakiolewa wanabadili majina ya baba zao iweje mtoto tena wamwite jina la upande wa mama?
 
Illona
Cassius Clay
Marley Jackson
Prince Kobe

Hao ni watoto wa Djibril Cisse, yule mfaransa mmakonde aliesumbua sn enzi zake Liverpool fc
 
Acha iwe hivyo na hivi wanawake siku hizi wanauwezo kiuchumi wanaume wangeonekana mauseless kabisa acha baba apewe heshima yake. Kuna mdada mmoja hawa wa dot.com kazaa wtt wawili mwanaume kamletea ujinga kamfukuza anaishi na watoto anawasomesha na kuwatunza mwenyewe kawabadilisha majina wanatumia ya kwake yeye mbaba kujua kumuuliza kwa nini kachange majina ya wtt? Akajibiwa kama kuzaa hata mbwa anazaa na haitwi baba sasa wewe unataka nini na haupo kwenye maisha yao na huwatunzi kamwambia nenda kaulize maana ya baba halafu uje kuniuliza kwa nini nimechange majina!!

Mkuu naomba nikuulize hivi walikuwa wamefunga ndoa?, kama walikuwa wanaishi tu basi hii ni sababu ya mwanamke kumpiga kibuti huyo njemba,Maana ndoa ingemlinda hata kama itakuwa haina kazi au mpunga.
 
my dear walifunga ndoa ya kikristo ila mwanaume alikuwa malaya sana so mahakama ikavunja ndoaaa sasa hawaishi pamoja mwanamke ndie aliyepeleka kesi ya kuomba talaka mahakamani.
kwa sababu ana pesa hakuhangaika kufuatila matunzo ya watoto wala nini ndio maana anaona mmewe ni useless na majina kabadilisha amewapa ya kwao.
 
Kimsingi wadada wa mawazo kama hayo wapo wengi ila huwa wanasahau jambo 1 kuwa mtt hana ufanani wa damu na mama hyo ni dunian kote, hvyo ukitaka ku justify mtt lazima utumie DNA ya BABA, so huyo mama na wengine wote mtt hatambuliki kwa mama ila kwa baba

Pia ni agizo la MUNGU, kwamba watt watambuliwe kwa ukoo wa kiume,

my dear duniani kote mtoto anatambulika kwa damu ya mama, hata sasa hivi wewe hapo ukifa ukawa hutambuliki wataitwa ndugu wa upande wa mama na si baba!!!! ila kwa Mungu na mila zetu mtoto ni wa upande wa kiume.
 
Back
Top Bottom