Suala la mfano ulioutoa halihitaji kutembea sana nchi za watu, nafahamu kuna kitu inaitwa matrilineal na patrilineal families. Hata hapa bongo zipo ndugu yangu nachokataa ni kama wewe uwe patrilineal halafu uone haifai. By the way kupishana kimtazamo ndio maendeleo usichoke kujenga hoja.
Mkuu, hapa sasa unakuja vizuri maana umejikita kwenye hoja. Nilianza kuogopa kwenye post yako ya awali. Mi binafsi natoka kwenye mfumo wa patrilineal lakini naamini wenzetu wa matrilineal watakuwa na msimamo tofauti kuhusu matumizi ya jina la mama.
Nakumbuka nimesoma na waliokuwa wanatumia majina ya wajomba zao. Ndio maana nikasema hivi vitu huwa vina evolve taratibu. Siku hizi kuna intermarriage nyingi kati ya makabila na dini tofauti. Vitu vyote hivi vitaamua siku za usoni hali itakuwa vipi!
Nimekuelewa mkuu ndio maana nikasema kwenye majanga ni ngumu baba kukumbukwa na wababa wengi ambao sio responsible wameishia kutajwa tu kwenye jina la ukoo au kujazwa kwenye document ambayo imeulizwa jina la baba, hiyo idea ya hao jamaa ilikuwa kibonzo flani hivi cha kumalizia sikuissue hapa sio idea mkuu ni nature ilivyo mtu anatembea nawewe tumbon karibia mwaka, vinguo vyake vyakuoendeza havai tena tumbo lake umefanya room yako, likiwa kubwa kulala hawezi anahema kama ana pumu. loo naturally kuna kamuumhaniko fulani.
baba kupendwa na watoto real bila kusahaulika inakubidi uwe na juhudi kwelikweli tena uwepo karibu na mtoto saana laa sivyo.....