Hivi ni kwanini jina la ubini / ukoo linatumika la baba?

Hivi ni kwanini jina la ubini / ukoo linatumika la baba?

Mama ana kazi nzito tangu alivyobeba ujauzito kujifungua mpaka kulea ni yeye ndo anaye play big part kwanini ubini usitumike wa kwake mfano Asha Rose Migiro.

Kuna kabila wanatumia ubini wa mama jina limenitoka kidogo nikikumbuka nitaliweka hapa ila most of us tunatumia ubini wa baba kwanini?

Mama ana majukumu mazito sana alipaswa kupewa heshima kwa kutumia ubini wake.

Unatokea Kondoa ndo kuna hizo mila hata kuoana
 
Mama ana kazi nzito tangu alivyobeba ujauzito kujifungua mpaka kulea ni yeye ndo anaye play big part kwanini ubini usitumike wa kwake mfano Asha Rose Migiro.

Kuna kabila wanatumia ubini wa mama jina limenitoka kidogo nikikumbuka nitaliweka hapa ila most of us tunatumia ubini wa baba kwanini?

Mama ana majukumu mazito sana alipaswa kupewa heshima kwa kutumia ubini wake.

Kule Spain na nchi walizowahi kuzitawala wanatumia majina matatu. La mhusika, la baba na la mama. Ndio mfumo wao.
 
Naona sasa mnataka kila kitu kiwe cha mwanamke, haya mambo yanakwenda kubaya sana
 
my dear duniani kote mtoto anatambulika kwa damu ya mama, hata sasa hivi wewe hapo ukifa ukawa hutambuliki wataitwa ndugu wa upande wa mama na si baba!!!! ila kwa Mungu na mila zetu mtoto ni wa upande wa kiume.

Mbona unatetea sana hii mada?
 
Mbona unatetea sana hii mada?

lazima niitetee maana watu wanataka kuwafanya wanaume ni mauseless nimeona kwenye familia yetu mama akikosana na baba basi mama na hivi ana uwezo hao watoto kwa sisi mashangazi na hata baba yao mnaweza msiwajue tena na hata wakiwaona wanawaona ni mastrangers tu.wengine hata wanaongea lugha za mama zao tu wale vichaa ndio wanaenda mbali na kuwabadilisha na majina loooh.
 
Mh ila upo sawa, ubarikiwe kwa mchango wako
 
Kwa hiyo tuige utamaduni wa Spain? This is pathetic thinking.

Kama ni kitu kizuri kwa nini tusiige? Haijalishi kama ni utamaduni wa Spain au wa kwenye Mars, bora ionekana kinafaa. By the way, what is pathetic about that?
 
na muwache kuwanyanyasa; ONLY IN TANZANIA! kule ulaya mwanamke na mtoto analindwa sana na sheria.

Kwa hiyo point ni kuacha kuwanyanyasa au pount ni jina la ukoo? Kwani wasiponyanyaswa ndio haki ya kutumia jina la ukoo ibaki kwa baba? Sijakuelewa hapa nahisi umechanganya mada Kidogo, by the way mambo ya mwanamke kunyanyaswa hayahusiani na masuala ya haki ya kutumia jina la ukoo
 
Hata Tanzania ina sheria nzuri sana inayomlinda mwanamke na mtoto so suala la Ulaya hapa halihusiki sio kila kitu muige ulaya miafrika bana
 
Kama ni kitu kizuri kwa nini tusiige? Haijalishi kama ni utamaduni wa Spain au wa kwenye Mars, bora ionekana kinafaa. By the way, what is pathetic about that?

Kuwa pathetic ni kuona kwamba Spain wana utamaduni mzuri wa kufata ukoo kwa mama. Sikatai ila kwani kuna ubaya gani ukoo ukiwa kwa baba? Kila kitu kwa mama thats why mitoto ya siku hizi walaini unakuta dume zima kila kitu kwa mama, hata limeoa lakini linataka kumshirikisha mama kwenye ndoa yake, ndio maana wake zenu wanawaona wanaume suruali. Kuwa kama mwanaune pale unapotakiwa kuwa mwanaume mjomba sio kila kitu apewe mwanamke mtagawa hadi jinsia zenu mwishowe.just be a man bana
 
Point kubwa apa ya kwnn watu tunatumia ubin wa baba ni kwa sababu ya identification tu...kwa upande wa mama haina shida ni iko wazi tu kuwa mtoto husika ni wa kwake kwa sababu ni yeye ndie aliyeibeba mimba ya huyo mtoto na pia ndie aliyemzaa na jamii inayomzunguka pia inaelewa ivo,tatizo ni kwa upande wa baba kwa sababu kam halijatumika jina lake husika ambalo litamtambulisha huyo mtot kuwa ni wa baba flani basi kuna uwezekano mkubwa wa huy baba kuibiwa huy kiumbe au ata kumkosa kabisa kwa njia yoyote ile as hakuna documentary evidence n identification evidence inayoonesha kuwa huyo mtot na wa huy baba...kwa iyo ni vema kutumia ubin wa baba ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima ktk familia na jamii kwa ujumla juu ya uhalali wa umiliki wa huy mtot kw baba flani.
 
Back
Top Bottom