Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

mm alikuawa ananiamkia baada ya kuanza kumlala shikamoo ikapotea, kuuliza kulikoni akajibu sa v anaona aibu kunipa shikamoo kwa kuwa tiyari kashaona dushelel yangu
 
Nina kadem kangu nakazidi sana age. Sasa tukikutana au tukiongea kwa simu utasikia "shikamoo baby!" Huwa naingia bafuni nacheka wewe. Naona kama komedi.

Eee mungu baba wa mbinguni tazama huyu mtu ananifurahisha mpaka nimedondosha sim yangu
 
Yan navuta picha ulivyo hadi unapata hiyo shkamoo,
Kwaiyo vipi unavuaga nguo mbele yake?
 
kkwa hiyo usiku umepiga mzigo alafua asubuhi anakwambia "shikamoo baby" ha ha ha ha me siwezi si sawa

unamuamkia shikamoo mtu anayeenda naye kwa bed!!!!!!!!!!!!!mi sifanyi huo ujinga. kama unamzidi kwa nini akubali muwe wapenzi??

Wizi mtupu!
Jamani acheni kuutesa mtima wangu kha!Inamaana heshima inapotelea kwenye shuka kitandani au?Inakuwaje kama unapiga kazi na Mwl wako mwanaume na anakufundisha darasani kama sec ..vile akiingia wakati wengine shkaamooo mwaaalimu wewe unakuja na swaga haabaaari mwaaalim!Mimi huwa najisikia aibu kwani hiyo ni dalili tosha kwamba una-derail.Asa wewe ni fataki utaki treatment za kifataki?Any way Mkirua kapfoo .uwe mcha cha kacha.
 
Back
Top Bottom