Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hasason, Sep 20, 2012.

 1. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Wadau embu tuwekane sawa ivi ina make sens pale mwandan wako anapokusalimia shikamo na wengine wanasema kabisa shikamo baba ndo heshima au hatakama wako rika sawa embu tuelezane yan sometimes unajihis unavunja sheria za nchi!.   
 2. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Shikamoo kitu gani bwana,baba yako huyo?kwanza mi naona inaleta u distance fulani hivo,,na kuogaopana ndo kunaanzia hapo,
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Si mnapenda kuheshimiwa. Itikia.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Wengine usipotupa hiyo shikamoo_tunakulima talaka tau,....ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_chezea sisi wewe.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nakutafuta ujue!
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Hata akinizidi miaka 30, ili mradi ni mume wangu; haipati hiyo shikamoo yangu!
   
 7. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kawaida sana kwani mwandani wako ni mtani wako, rafiki yako, kwa hiyo kama anafanya utani fresh haina noma, kwani mbona wangu hunisalimia na nafikiri saa zingine hutafuta jinsi ya kunichekesha
   
 8. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Huo ni ukiukaji wa maadili, kwenye sheria ya ndoa ya Kiislam, mke au mume ukimfananisha au kumpa hadhi ya mzazi wako hiyo ndoa itakuwa ni batili.
  Mke hapaswi kumuamkia mume wake kama baba yake.
   
 9. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Kaunga wenzio wanatoa tena kwa kubonyea kidogo attached na mtetemo kidogo weee!
   
 10. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nadhani mmeishiwa nyuzi za kuleta jukwaani
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kama unambonyeza sawa sawa lazima akupe shikamoo!
   
 12. earl

  earl Senior Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  kwa maoni yangu hilo sio sawa kwa sababu inalete issue ya mkubwa na mdogo kwenye mahusiano. Hali hiyo inaweza ikasababisha mdogo kumwogopa mkubwa inapofika wakati wa kushauriana juu ya mambo fulani.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Hakuna raha kama kumuamkia shikamoo
  Afu naye ajiamini katika kuiitikia
  Huku saa hizon wamfua shati na viatu.

  Chezeiya shikamoo kwenye mahaba wewe, inaunyanyua mbuyu mara moja
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Watu wote unaowaamkia shikamoo ni baba zako au mama zako?
  Kwa hiyo ukiamkia mtu ndio kawa baba yako??

   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  Shikamoo na kupiga magoti ndio mpango mzima...... kwani tukilala kitanda kimoja ndio tunakua sawa?? nani kasema?? heshima lazima iwepo.............
   
 16. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hayo ni maoni yenu, tuyanaheshimika, na pia tunawaachia nyie wenyewe. Ila kwangu mimi nimewazidi wote miaka ya kutosha, hivyo shikamb.o.. ni lazima. adabu kwenda mbele na wakati mwingine nawakalisha, alaaa. Pia maswala ya kuitwa baba fulani sitaki, nataka waniite mume wangu kama sio jina langu. Kuhusiana na swala la dini kila mmoja vyake hicho sio kitu cha kuzaliwa kama vile kabila au rangi.
  Nawasilisha!
   
 17. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Especially pale mkubwa anapokuwa ni mwanume shikamoo lazime ihusike, lakini kidume hutakiwi kutoa shikamoo hata kama unakandamiza shugamamy, ila inabidi shughuli uifanye kwa ufanisi ili kujenga heshima.
   
 18. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,520
  Trophy Points: 280
  Shikamoo Lazima huwa ina maana kubwa sana katika mapenzi. Tatizo la dot come na beijing itawapeleka kubaya wake zetu.
  Sikiliza ya beijing changanya na zako.
   
 19. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Duh mambo ya wapi tena haya shikamoo na mpenzi wako au mke wako? Hii imekaa kimila zaidi.Ila nadhani ulipaswa kumuuliza yeye mwenyewe akueleze ni kwa sababu zipi anakupa shikamoo. yawezekana wewe umemzidi miaka kama 15 hivi sasa akijiangalia yeye alivyo na wewe ulivyo anaona ni bora akupe tu shikamoo means wewe ni mkubwa sana kwake na pengine hukupaswa kuwa naye.
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Naanda muhitasari wa kukusome mheshimwa Kaunga! tehe tehe lazima uanguke signature tu!
   
Loading...