BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
ai yaani nikuamkie tu? Eti shikamoo mume wangu? Wala sifanyi hayo
Hakuna raha kama kumuamkia shikamoo
Afu naye ajiamini katika kuiitikia
Huku saa hizon wamfua shati na viatu.
Chezeiya shikamoo kwenye mahaba wewe, inaunyanyua mbuyu mara moja
sema wewe kiazi mie mhogo nina mzizi!yani mi siku nikipewa ile kitu mpka naposahau jina langu asubuhi yake lazima nmwage shkamoo,af inanoga zaid nikimalizia shikamoo mume wangu!wacha kabisa!
:laugh::laugh::laugh::laugh:sometimes unajihis unavunja sheria za nchi!
Si mnapenda kuheshimiwa. Itikia.
naam,hapo huwa anajua ah jana!ah man was at work!Shikamoo haijakaa poa bana kwa wanandoa...
Unless kama inatolewa as a surprise au kama utani flani..
Mambo vipi mke/mume wangu ndio mpango mzima..
Ila pacha snowhite umenifurahisha ina maana siku shemeji akiitendea vyema K kesho yake lazima adamke na shikamoo..lol
Si mnapenda kuheshimiwa. Itikia.
Micha kumbe na wewe umo kwenye mambo haya!!!Especially pale mkubwa anapokuwa ni mwanume shikamoo lazime ihusike, lakini kidume hutakiwi kutoa shikamoo hata kama unakandamiza shugamamy, ila inabidi shughuli uifanye kwa ufanisi ili kujenga heshima.