sukari yao
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 140
- 23
na ulivo kibonge wewe, nachikia watamu sana nyie!Kusalimia shikamoo mpenzi wangu siwezi!!
na ulivo kibonge wewe, nachikia watamu sana nyie!Kusalimia shikamoo mpenzi wangu siwezi!!
na ulivo kibonge wewe, nachikia watamu sana nyie!
Hiyo ngum,yani mpnz wng kabisa nimpe shikamoo! Haijakaa vizur apo
Nina kadem kangu nakazidi sana age. Sasa tukikutana au tukiongea kwa simu utasikia "shikamoo baby!" Huwa naingia bafuni nacheka wewe. Naona kama komedi.
akisema,shikamoo baby na najibu baby Baba yako