Especially pale mkubwa anapokuwa ni mwanume shikamoo lazime ihusike, lakini kidume hutakiwi kutoa shikamoo hata kama unakandamiza shugamamy, ila inabidi shughuli uifanye kwa ufanisi ili kujenga heshima.
Si mnapenda kuheshimiwa. Itikia.
unamuamkia shikamoo mtu anayeenda naye kwa bed!!!!!!!!!!!!!mi sifanyi huo ujinga. kama unamzidi kwa nini akubali muwe wap wapenzi??
​marahaba baby teh teh!!!nawe unamjibu vp?
Ni sawa kabisa hata ka usinge mzidi umri.