wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,431
- 3,106
Hapana Seran, sina yeyote niliyembahatisha siyo hapa JF au popote pale. Niamini—ni wewe tu niliyekufa kwako.Mkuu uliowabahatisha hawakutoshi tu mpaka namimi niwe kundini ndio urudhike😅
Huyo AI umempa leading question naye akapita humo humo.Nimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut
Hilo kebo sio poaView attachment 3626134
Napenda warembo wenye makebo makubwa
🔥🔥🔥😁😂😂😂 AI hakopeshi
Zingatia sana hapo anaposema “hasa makubwa na yanayovutia” halafu akakazia “Yaani nyuma kubwa,laini yenye shape”
Kuku wa kienyeji.
Makebo makubwa ndio haya hapa mkuu usiumize kichwa na hua tunanunuaView attachment 3626710
Vitu vyako hivi monnster😁😁
Na hii ndio maana halisi ya sura ya Baba mwili wa Mama
Hakika Mungu fundi mtoto amependeza
Chizi MaarifaTusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
Nyumba ni choo mwamba.Vitu vyako hivi monnster😁😁
Bebi si ndiyo wewe, my love. Shida yangu ni wewe tu sweetie.Bebi ni nini? Unakosaje sasa? Basi utakuwa na shida mahala🤨