Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida
Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
Yaani siku hizi wanamke akipita mbele ya wanaume bila wimbo, "singida Dodoma" kusindikiza hatua zake, basi mambo kadhaa lazima yatokee.
1. Atakumbilia uturumia (kama ana pesa).
2. Atapatwa na msongi wa mawazo na kushindwa kujiamini akatizapo mbele za watu na hivyo atajifungia ndani n.k...
Kama mtu anaweza kusimama na na kudanganya wananchi kuwa ataweletea maziwa na asali na baada ya miaka mitano kuisha unamuona LC300 binafsi , hayo maziwa na asali mnayaona tu you tube then kwanini ni wahukumu wadada wenye makebo makubwa namna wanavyofyonza pesa.
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake.
Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa
secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu.
Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.