Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,647
- 14,049
Kuna mtu anaitwa hivyo ngoja aje kukujibu
Neno makebo haliko katika lugha yoyote duniani au mbinguni
Hata hivyo kws DRC, Congo kuna maneno ya kilingala kama: Makembo na Makambo yakimaanisha ndizi na matatizo, respectively.
Kwa Africa ya kusini kuna neno: MAKEBA— Likimaanisha: mwenye hadhi kubwa. Kmf : Miriamu MAKEBA.
Huyu wa kwenye picha mwenye hilo zigo kwa raraa reree ni cha mtotoView attachment 3626134
Napenda warembo wenye makebo makubwa
Nimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut
Unataka kusema nini mdau?Lilianzia hapa....
Cabbages - Kabeji - makabeji - wengine wanaita makabichi! Likakua na kuongezwa manjonjo na kufupishwa kuwa keboz, then kebo na wingi wake makebo tukatulia hapo!
mtaa upiNi upuuzi wa lahaja za mtaani
Kekomtaa upi
mimi naishi Manzese lakini sijawahi kusikia hilo neno
Kuku wa kienyeji.
Kumbe wanawake wa kiisilamu nao wamo?
Makebo = Matako, hivyo yaan hakuna jibu lingine zaidi ya hiloTusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
HakikaNi upuuzi wa lahaja za mtaani
HahahahaNimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut
Niaje😅Bwashee 😅
Salam sana bwashee , nimewaka captain Morgan Jack sparrow mwenyewe hapa😆😆😆Niaje😅