Nijuavyo elimu haipatikani darasani tu, kuna wasomi waliobobea lakini ni bure kabisa. Kuna michango na mawazo ambayo hutolewa na wenye shahada za elimu Bungeni hadi nashangaa.
Juzi juzi alipokamatwa Sheikh Ponda, msomi mmoja mbobevu na mwanasiasa, alinishangaza sana kwa maoni aliyoyatoa.
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi iwetu katika medani za kitaifa na kimataifa:
1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay Primary, Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree DIT
24) Joshua Samwel Nassari Not updated
CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari
Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dungunyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.
Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma
Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü Macho.
Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa. Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani? Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.
Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yao.
Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore, kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.
UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.
WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa za kuongoza wizara.
Umeagizwa
wenye elimu kumi na wasio nayo kumi wakichangia jambo nani watatoa mawazo ya maana?usiache kusema kweli eti tu kwa sababu unakugusa au unamgusa jirani yako/mpendwa wakoNijuavyo elimu haipatikani darasani tu, kuna wasomi waliobobea lakini ni bure kabisa. Kuna michango na mawazo ambayo hutolewa na wenye shahada za elimu Bungeni hadi nashangaa.
Juzi juzi alipokamatwa Sheikh Ponda, msomi mmoja mbobevu na mwanasiasa, alinishangaza sana kwa maoni aliyoyatoa.
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi wetu katika medani za kitaifa na kimataifa:
1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay Primary, Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree DIT
24) Joshua Samwel Nassari Not updated
CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari
Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dungunyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.
Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma
Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü Macho.
Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa. Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani? Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.
Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yao.
Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore, kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.
UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.
WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa za kuongoza wizara.
Then what? Hizo degree za CCM zimetusaidia nini?Umeshawahi kujiuliza kiwango cha elimu cha kagame?
wenye elimu kumi na wasio nayo kumi wakichangia jambo nani watatoa mawazo ya maana?usiache kusema kweli eti tu kwa sababu unakugusa au unamgusa jirani yako/mpendwa wako
Profesa Maji Marefu, Nursery School Ushotto
Lusinde Kudadadadeki, STD 1V Mtera Kata school
Kapt John Komba, Certificate of Nursery school, Mbinga. Diploma in Shot Klia, shot Klia..... Hima!, JWTZ; International certificate in Mgeniii, Mgeni huyu balaaaa..... TOT Taarab and Choir.
Sijui niendelee?
Elimu ni mhimu sana ; but education without character is too dangerous.
Maneno ya- Steven Muller , President , Johns Hopkins University nakubalian naye sana True education is training of both the head and the heart. An uneducated thief may still from the freight car but an educated one may steal the entire railroad. We need to compete for knowledge and wisdom and not for grades. Knowledge is pilling up facts , wisdom is simplifying it. One could have good grades and a degree and still not learn much. The most important thing one can learn is "learn to learn". People confuse education with the ability to memorize facts. Educating the mind without morals creates a maniac in society.
Ukiwa na kiongozi msomi na mwenye Busara thats a plus but Kama wasomi wetu kama wewe ni waoga waoga kujitokeza kwenye medani za uongozi wa siasa za vyama vya upinzani kwaniani Wazalendo wenye vision ya kuleta mabadiiko waioshia darasa la saba washike hatamu????? Kwahiyo unataka vyama vya upinzani visimame mpaka wasomi watakapoona umuhimu wa kujiunga navyo?
Pili Politician needs to be good decision makers and have values to do so , therefore if they surround themselves with experts they will be able to utilise their expertise to make a sensible decision. Wasomi wetu leo waliopo CCM wengi wanafanya maamuzi ya kisiasa Zaidi na sio ya kisomi Zaidi .Wangekuwa wanafanya maamumzi ya kisomi tusingekuwa na Vyama vya upinzani vyenye nguvu kwasasa na perhapsGDP yetu ingekuwa ime double.
Mimi binafsi ni Msomi ninajua umuhimu wa elimu, lakini kila siku ninapotumia elimu yangu ina limitatation zake based on what I believe (my moral philosophy)
Then what? Hizo degree za CCM zimetusaidia nini?Umeshawahi kujiuliza kiwango cha elimu cha kagame?
the first part ni philosophical mumbo jumbo nisingependa kujikita huko kwa maudhui tuliyonayo. Ndiyo maana tunapeleka watoto shule kwa sababu tunajua formal education ni kitu gani na hii elimu ikiwa nzuri (shule nzuri za maana) inamkuza mtu character wise.
kwenye bold watu wengi siyo waoga ila bado hawako convinced na upinzani angalau kwa sasa. wasomi nikiwa na maana ya watu wenye uelewa wa aina fulani na uzoefu wa aina fulani (siyo tu wanafunzi wa vyuo) wanakua na taratibu zao objective za kupima mambo kabla ya maamuzi ya kusapoti, kujiunga au la, jhawa watu uwa hawakurupuki na siyo watu wanaotumia hisia kwenye mambo muhimu. CDM bado hawajaconvice hawa wajitokeze kwa wingi kugombania uongozi ndani ya chama chao.
Kama Taanzania imefikia wakati mtu wa form 6 au 4 aongoze taifa basi aongoze kwa sababu nafikiri kwenye demokrasia hata hii ya kuunga unga kama ya kwetu viongozi mara nyingi wanakua ni reflection ya wale wanaowaongoza.
kwenye red, naamini kuna binadamu wachache sana dunia ya leo au hata ya jana ambao walikua na uwezo wa kufanya right decisions (considering the competing needs and limited resources in any society) bila ya kua well informed and versed kwenye discipline ya formal education haswa sasa in this century. experts should just aid and add to the panoramic views of the top decision maker.
kwenye Blue; CCM ina wasomi wengi, lakini wanaongoza ni wanamfumo wa kibeapari uchwara wakisaidiwa na nguvu za nje ya nchi na ndani ya nchi zenye mizizi kwenye biashara. Kinachohitajika siyo kumuweka mtu wa darsa la 7 kwa kua ni mzalendo, by the way utajuaje mtu ni mzalendo kama haujampa nguvu na uwezo wa kujipendelea yeye na familia yake? tatizo siyo wasomi wetu Ndulu, Balali, Yona,mbilinyi,mwandosya, Salim A salim, Muhongo etc ttaizo ni mfumo na hawa hawapewi nafasi au hata wakipewa wanabanwa na mfumo.
tufanye nini huu mfumo? hili ni swali la kuulizana kwani hata hao wanajiita wazalendo wa CDM hata kama wasingekua na mapungufu yao ya uzoefu na elimu, huu mfumo ungewameza tu hawana jinsi na biashara kwa mtanzania wa kawaida ingekua ile ile.
Nb: just an added thought. Business interest kwenye siasa zinaevolve tu kulingana na nani aliyepo, juzi juzi uchaguzi wa Arumeru Rostam anaisifia CDM, na huyu muhindi anayetoa hela CDM ametumwa na nani? jiulize
Jamani tusitetee ujinga kwa vile wanaoguswa tunawashabikia. Mambo ya elimu haipatikani darasani US iliongozwa na marais wasio na diploma yamepitwa na wakati. Elimu ni muhimu tutake tusitake. Hivi nani yuko tayari kwa mfano kuongozwa na rais asiyejua kusoma na kuandika katika karne ya 21? Sasa mnatetea nini hapa? Angekuwa ameandikwa Salma Kikwete kama kihiyo hapa kila mmoja angehanikiza kumtaka asome. Mie nadhani wabunge wa CDM ambao Resumes zao haziko safi wanapaswa kwenda shule. Bila kusoma watapitwa na wakati. Mfano Mbowe aliwahi kuwa admitted Hull University. Je ni kwanini hakumaliza masomo yake? Alifeli, alikuwa na udhuru?