Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,383
Hukumu ya upelelezi ni hakika na inatuhusu sote. Soma Ufunuo 14:7-9. Kupinga kwako hukumu ya upelelezi ni udhibitisho kuwa hujui maana ya kifo cha Yesu pale msalabani. Ndio maana nakusihi unyenyekee chini ya Msalaba wa Kristo akufunulie ukweli wa hukumu yake na huduma ya hekalu la Mbinguni kama Mtume Paulo alivyoonyeshwa katika kitabu cha Waebrani 9 .Pia Yohana aliliona hekalu la Mbinguni katika Ufunuo.Sasa hapo kuna uongo gani mkuu??? Kuwa Binti Ellen hakuwai kupata matatizo ya ubongo..?
Kuwa mama Ellen G White hakupata njozi za kusema alipelekwa mbonguni...? Au kile kitabu cha hukumu ya upepelezi ni cha uongo..?