ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,889
- 60,925
Hili jambo jepesi sana inatakiwa wafundishwe watoto wa primary
Mbona mnajichanganya, msome JAYJaY post # 55Kuna aliyesema hawalipwi?
Mfano ninaokupa usiotaka kuuona wateja walikuwa refunded kila mmoja kwa wakati wake.Ndio maana nikakwambia unajua maana ya fractional reserve banking wewe ? , sasa Kama unajua fractional reserve banking ni kwamba pesa kiasi asilimia tisini ya deposit haipo Kama liquid cash ,huwezi kitumia akili ukajua kwamba Wateja wakihitaji pesa zao kwa wingi hawaeezi kuwa refunded hizo deposits zao kwa asilimia Mia ? ,we unaongelea benki sijjui Mwenge , Unauhakika hao Wateja wa Mwenge walikuwa refunded PESa in full amount ? Na huwezi kutumia logic na kujiuliza Kama wewe unaweka pesa zako benki ,hupewi return yoyote , na unakatwa pesa kila mwezi na makato ya miamala yet ukidai pesa zako mkiwa wengi au ikitokea situation flani hupewi PES a zako ?
Kama hutaki kuwaamini BOT hilo ni tatizo lako, na requirements zipo kisheria.Achana na mambo ya requirements,huo ni upuuzi tu wa kuwandanganya wajinga wasiochunguza mambo hasa nchi corrupt na babana republic Kama Tanzania .We unaamini BOT wana liquidity ya kufanya recovery ya Wateja wa NMB au CRDB kwa hata robo tu ya amount waliyoweka ikitokea shock kwenye hizo banks au watu wakihitaji pesa zao Leo ? ,
Hapa nimeshakwambia, sio kila bank inayofanya fractional banking huwa inafilisika, bank nyingine zinatumia hiyo kujitengenezea faida.Fractional banking inahusika directly na nilichoandika maana failure ya kulipa watu pesa zao isingekuwepo Kama kusingekuwa na fractional reserve banking, Kama unakeep asilimia kumi tu ya deposit kama liquidity unategemea refund itafanyikaje ? ,kiufupi Fractional reserve banking ni ponzi scheme .
Mhhh!! Juu huko umesema kabla ya benki kuanzishwa huwa wanaweka deposit BOT, ndiyo ni kweli, lakini ni kiwango kisichozidi bilioni 10. Sasa kwa benki kama Exim, Crdb kiwango hicho hakitoshi kulipa Wateja benki ikiwa benki itafirisika hata kama utaweka na faida yao. Na mpaka benki kufirisika maana yake kuna changamoto za kifedha.Hapa nimeshakwambia, sio kila bank inayofanya fractional banking huwa inafilisika, bank nyingine zinatumia hiyo kujitengenezea faida.
Faida ambayo mwisho wa siku huziwezesha bank hizo kupunguza kiasi wanachotoa kwenye reserve za customers wao, kwasababu bank zinakuwa zimeanza kujiweza.
Ndio unavyojidanganya hivyo ? ,kwani Lehman Brothers na wengine kule marekani hawakuwa na Wateja wengi ? ,hivi unajua hata mfumo wa banking unavyofanya Kazi we jamaa ? Au unadhani kufirisika benki ni issue ya wateja tu ,? ,Kama hutaki kuwaamini BOT hilo ni tatizo lako, na requirements zipo kisheria.
Hizo bank mbili ulizotaja kufilisika ni ngumu kwasababu wana wateja wa kutosha.
Kuna mawili inawezekana Anakaza fuvu tu au ni mjuaji tu asiye elewa mifumo ya kibenki ilivyo ,Mhhh!! Juu huko umesema kabla ya benki kuanzishwa huwa wanaweka deposit BOT, ndiyo ni kweli, lakini ni kiwango kisichozidi bilioni 10. Sasa kwa benki kama Exim, Crdb kiwango hicho hakitoshi kulipa Wateja benki ikiwa benki itafirisika hata kama utaweka na faida yao. Na mpaka benki kufirisika maana yake kuna changamoto za kifedha.
Umeelezwa huko juu BOT hufanya monitoring ya benki zote, na si kama unavyoonyesha wewe. Very close monitoring na si tu mabenki, hata financial institution nyingine kama Insurance companies, ndiyo maana ni mandatory kuchapisha hesabu zako kila quarter ya Mwaka.
Sasa unazungumzia benki ikifirisika Wateja wanalipwa fedha zao zote. Si kweli. Mfano CRDB amana za wateja ni trilioni 10, mikopo (ambayo ni sehemu ya amana na ambayo haijalipwa) ni trilioni 2, faida bilioni 500. Elezea ni kwa namna gani Wateja watalipwa fedha zao zote trilioni 10 ikiwa benki itafirisika.
Benki zote zinaoperate kwenye fractional reserve system na hii system inajulikana ni Kama ponzi scheme maana hawawezi kufanya recovery ya pesa za mteja na hata wakifanya hata kupata robo ya original deposit ni ngekewa tu. Na Nina uhakika hata hiyo Mwenge bank unayodai watu walilipwa pesa zao ,Nina uhakika hawakufanyiwa full coverage ya deposits zao maana Kama ponzi schemes zote zilivyo ,hamna benki iliyofilisika ambayo iliiwahi kufanya full recovery ya pesa ya mteja sasasana danadana tuHapa nimeshakwambia, sio kila bank inayofanya fractional banking huwa inafilisika, bank nyingine zinatumia hiyo kujitengenezea faida.
Faida ambayo mwisho wa siku huziwezesha bank hizo kupunguza kiasi wanachotoa kwenye reserve za customers wao, kwasababu bank zinakuwa zimeanza kujiweza.
Post #55 hajasema hivyoMbona mnajichanganya, msome JAYJaY post # 55
Tatizo mnatoa mifano ya banbank ambazo hazijafilisika kuzungumzia bank zilizofilisika, mnafeli.Mhhh!! Juu huko umesema kabla ya benki kuanzishwa huwa wanaweka deposit BOT, ndiyo ni kweli, lakini ni kiwango kisichozidi bilioni 10. Sasa kwa benki kama Exim, Crdb kiwango hicho hakitoshi kulipa Wateja benki ikiwa benki itafirisika hata kama utaweka na faida yao. Na mpaka benki kufirisika maana yake kuna changamoto za kifedha.
Umeelezwa huko juu BOT hufanya monitoring ya benki zote, na si kama unavyoonyesha wewe. Very close monitoring na si tu mabenki, hata financial institution nyingine kama Insurance companies, ndiyo maana ni mandatory kuchapisha hesabu zako kila quarter ya Mwaka.
Sasa unazungumzia benki ikifirisika Wateja wanalipwa fedha zao zote. Si kweli. Mfano CRDB amana za wateja ni trilioni 10, mikopo (ambayo ni sehemu ya amana na ambayo haijalipwa) ni trilioni 2, faida bilioni 500. Elezea ni kwa namna gani Wateja watalipwa fedha zao zote trilioni 10 ikiwa benki itafirisika.
Bank isiyoweza kufanya recovery ya pesa za wateja ni hizo kubwa kama CRDB na wengine, kwa bank ndogo zenye wateja wachache inawezekana mimi nina experience.Benki zote zinaoperate kwenye fractional reserve system na hii system inajulikana ni Kama ponzi scheme maana hawawezi kufanya recovery ya pesa za mteja na hata wakifanya hata kupata robo ya original deposit ni ngekewa tu. Na Nina uhakika hata hiyo Mwenge bank unayodai watu walilipwa pesa zao ,Nina uhakika hawakufanyiwa full coverage ya deposits zao maana Kama ponzi schemes zote zilivyo ,hamna benki iliyofilisika ambayo iliiwahi kufanya full recovery ya pesa ya mteja sasasana danadana tu
Huu wako sasa ubishi tu.Post #55 hajasema hivyo
Ila ukweli ni kwamba benki ikifilisika uhakika wa kulipwa ni hiyo milioni 7.5 zingine utasubiri mali za benki zitakapouzwa
Greenland Bank ikifilisika mwaka 2000 hadi leo watu wanadai hela zao
FBME ilifilisika mwaka 2017 hadi leo watu wanadai hela zao
Hizo hela utaeleza umezitoa kwa wapi kwa wakati mmoja wakati benki yenyewe haina hiyo keshi.Je nikiweka Shilingi Trilioni 10 benki leo, na baada ya wiki nikaja kutaka kuzichukua zote kwa siku moja nitazikuta zipo?
Mimi siongei kinadharia naongea kitu inachokifahamu vizuri ,we endelea na ubishi wako , hapa Tanzania tu hakuna benki iliyowahi recover pesa za wateja in full , na kushangaa wewe unayejidanganya na kudhani hizi benki zenu mfu ambazo basically ni vikoba tu mnaweza lipwa pesa zenu , kuna siku utajifunza hili somo kwa vitendo ila kwa maumivu .Ni suala la muda tuBank isiyoweza kufanya recovery ya pesa za wateja ni hizo kubwa kama CRDB na wengine, kwa bank ndogo zenye wateja wachache inawezekana mimi nina experience.
Sijui huelewi kitu gani .. achana na mambo ya kukariri madesa, sio kila wakati yana apply.
Tatizo una panic.Mimi siongei kinadharia naongea kitu inachokifahamu vizuri ,we endelea na ubishi wako , hapa Tanzania tu hakuna benki iliyowahi recover pesa za wateja in full , na kushangaa wewe unayejidanganya na kudhani hizi benki zenu mfu ambazo basically ni vikoba tu mnaweza lipwa pesa zenu , kuna siku utajifunza hili somo kwa vitendo ila kwa maumivu .Ni suala la muda tu
Huwezi kupewa zote cash kwa siku mojaJe nikiweka Shilingi Trilioni 10 benki leo, na baada ya wiki nikaja kutaka kuzichukua zote kwa siku moja nitazikuta zipo?
Benki ikifilisika na hela zako ziko humo maama yake na wewe umefilisika BOT watafidia asilimia ya ulichoweka na si zoteBenki zote zinaoperate kwenye fractional reserve system na hii system inajulikana ni Kama ponzi scheme maana hawawezi kufanya recovery ya pesa za mteja na hata wakifanya hata kupata robo ya original deposit ni ngekewa tu. Na Nina uhakika hata hiyo Mwenge bank unayodai watu walilipwa pesa zao ,Nina uhakika hawakufanyiwa full coverage ya deposits zao maana Kama ponzi schemes zote zilivyo ,hamna benki iliyofilisika ambayo iliiwahi kufanya full recovery ya pesa ya mteja sasasana danadana tu