Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

Ndio ni uongo.

Kusema watu wanaweza poteza pesa zao bank kama bank itafilisika sio kweli.

Mbona hata bongo tu hapo watu walipoteza ilipofilisika Meridian Biao Bank miaka ya nyuma kama ulikua ushazaliwa. Amana zinawekewa bima na bima inalipa 1.5M tu kwa Tz (kwa US ni $250k) bila kujali uliweka ngapi, then zingine utapata wakiuza mali zao kama zitauzika na watagawa kila mtu apate kiasi
 
Ndiyo ukweli huo,bank ikifilisika kuna wanapoteza hela zao. Ndiyo maana benki kuu wanafuatilia benki zote wakiona kuna dalili za kufilisika wanasitisha huduma, inauzwa au kuungana na benki nyingine ( merger)
Haya mambo yapo kisheria acheni story zenu. Bank kuu sio wapiga ramli wafanye kazi ya kufuatilia bank ipi ina dalili za kufilisika.
 
Mabenki mengi wanapata faida kubwa sana hasa kwa wale wateja wa saving account aka longterm deposits

Wewe unaweka 10m kwa mwaka unapewa 1.3m , wao wanakopesha 10m kwa mwaka wanazalisha 1.8 hadi 2.3 m piga hesabu mkiwa wateja 1000 , benki hazina hasara labda afsa mikopo awe mwendawazimu
 
Mbona hata bongo tu hapo watu walipoteza ilipofilisika Meridian Biao Bank miaka ya nyuma kama ulikua ushazaliwa. Amana zinawekewa bima na bima inalipa 1.5M tu kwa Tz (kwa US ni $250k) bila kujali uliweka ngapi, then zingine utapata wakiuza mali zao kama zitauzika na watagawa kila mtu apate kiasi
Kwa sasa ni milioni 7.5
Maana yake ukiwa na milioni 7.5 kwenye akaunti benki ikifilisika unalipwa hela yako yote na kampuni ya bima.
 
Haya mambo yapo kisheria acheni story zenu. Bank kuu sio wapiga ramli wafanye kazi ya kufuatilia bank ipi ina dalili za kufilisika.
Ndiyo sheria hiyo siyo kupiga ramli benki zinatoa taarifa ya fedha benki kuu kila mwaka. Kama benki inapata hasara kila mwaka benki kuu wanaingilia kati. Hii imetokea miaka ya hivi karibuni tu kuna benki ilikuwa inaitwa Convenant Bank kwa sasa imefilisika
 
Bank kuu ina jukumu la kumlinda mteja, sio kumtelekeza bank inapofilisika.

Kuna bank ilikuwepo Mwenge ilifilisika wateja wakalipwa vyao.

Kama mambo yangekuwa mepesi hivyo nani angeweka pesa zake bank!
 
Kwahiyo waliokopa bank ikifilisika wanafutiwa madeni?

Rejea vizuri madesa mkuu.
Kuna madeni hayalipiki Mkuu. Watu wameanzisha miradi na imeshindwa kirudisha fesha. Na hata dhamana walizowwka zikiuzwa bado hazirudishi thamani halisi inatodaiwa. Huoni kuwa hiyo ni hasara tayari!? Umesahau watu washalia sana kwa mabenki kufungwa na kupoteza fedha zao!?
 
Back
Top Bottom