Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

Kuna bank ilikuwepo Mwenge ilifilisika wateja wakalipwa vyao.

Kama mambo yangekuwa mepesi hivyo nani angeweka pesa zake bank!
Efata Bank hiyo
Kuna bank ilikuwa inaitwa FBME ilifilisika miaka ya 2016-17 hadi leo watu wanadai hela zao
Kuna Mbinga Community Bank, Njombe Community Bank ni
Taarifa zipo mitandaoni
 
Haya mambo yapo kisheria acheni story zenu. Bank kuu sio wapiga ramli wafanye kazi ya kufuatilia bank ipi ina dalili za kufilisika.
Kupiga ramli!? Hapo ni masuala tu ya hesabu tu Mkuu. Hujawahi sikia benki inawekwa chini ya usimamizi wa Benki Kuu!? Unadhani hiyo inatokea kwa kupiga ramli!? Ni kwa sababu wana_monitor uendeshaji wake na wanaona wazi kabisa huko inakoelekea sio kuzuri.
 
Bank kuu ina jukumu la kumlinda mteja, sio kumtelekeza bank inapofilisika.

Kuna bank ilikuwepo Mwenge ilifilisika wateja wakalipwa vyao.

Kama mambo yangekuwa mepesi hivyo nani angeweka pesa zake bank!
Usikariri sio kila mteja hupata pesa zote pindi benki inapofilisika. Kuna wengine hupata sehemu tu ya akiba zao.
 
Kuna madeni hayalipiki Mkuu. Watu wameanzisha miradi na imeshindwa kirudisha fesha. Na hata dhamana walizowwka zikiuzwa bado hazirudishi thamani halisi inatodaiwa. Huoni kuwa hiyo ni hasara tayari!? Umesahau watu washalia sana kwa mabenki kufungwa na kupoteza fedha zao!?

Madeni ya aina hiyo yanaweza kutokea hata kama benki haijafungwa/filisika. Nilikua nakukumbusha kwamba, hata benki ikifungwa, suala la madeni hua wanakabidhiwa watu washufhulike nayo, inaweza kuwa benki nyingine au taasisi.
 
Mabenki mengi wanapata faida kubwa sana hasa kwa wale wateja wa saving account aka longterm deposits

Wewe unaweka 10m kwa mwaka unapewa 1.3m , wao wanakopesha 10m kwa mwaka wanazalisha 1.8 hadi 2.3 m piga hesabu mkiwa wateja 1000 , benki hazina hasara labda afsa mikopo awe mwendawazimu
Wengine wanashindwa,ni biashara kama biashara zingine kuna kupata hasara
Hizi zilikuwepo
Bank M
Twiga Bancorp
Convenant Bank
Bank ABC (Hii mimi nilikuwa na akaunti)
Barclays
Na microfinance nyingi tu
 
Efata Bank hiyo
Kuna bank ilikuwa inaitwa FBME ilifilisika miaka ya 2016-17 hadi leo watu wanadai hela zao
Kuna Mbinga Community Bank, Njombe Community Bank ni
Taarifa zipo mitandaoni
Na kuna Greenland Bank miaka ya mwanzoni mwa 2000, nadhani mambo ya kufilisika mabenki nchini hawa ndio walikuwa waasisi! 😁😁
 
Kupiga ramli!? Hapo ni masuala tu ya hesabu tu Mkuu. Hujawahi sikia benki inawekwa chini ya usimamizi wa Benki Kuu!? Unadhani hiyo inatokea kwa kupiga ramli!? Ni kwa sababu wana_monitor uendeshaji wake na wanaona wazi kabisa huko inakoelekea sio kuzuri.
Bank inawekwa chini ya usimamizi ikiwa inaelekea kufilisika, sizungumzii hilo.

Nachozungumzia mimi ni baada ya bank kufilisika wateja wa hiyo bank wanaachwa vipi.
 
Bank inawekwa chini ya usimamizi ikiwa inaelekea kufilisika, sizungumzii hilo.

Nachozungumzia mimi ni baada ya bank kufilisika wateja wa hiyo bank wanaachwa vipi.
Wanalipwa na bima maximum milioni 7.5, kama ulikuwa na akiba zaidi ya hiyo utalipwa baada ya mali za benki zikiuzwa. Inawezekana usilipwe hela yako yote hilo lishatokea
 
Kuna sheria inayo govern kuanzishwa kwa bank yoyote.

Ili uanzishe bank lazima uwe na kiasi fulani cha pesa ukiweke BOT, incase bank imefilisika wateja wako walipwe pesa zao.

Mambo sio mepesi kama ulivyoandika hapo juu, kuweka pesa bank sio kama kucheza kamari.
Acha ujuaji wa kijinga ,alichoandika huyo jamaa ni ukweli asilimia zote ,nashangaa upo hapa kupinga Kama zoba , unajua nini kuhusu fractional reserve banking wewe ? ,umewahi kusikia benki imefilisika na refund imefanyika asilimia mia kwa watu ?
 
Ukiweka Shilingi Milioni 10 benki leo, unaamini kuwa pesa hizo ziko ndani ya chumba cha siri cha benki zikikusubiri wewe ukazichukue siku yoyote, sivyo?

Ukweli ni kwamba: Pesa hizo hazipo hapo! Siku hiyo hiyo uliyoondoka, benki inachukua takriban Shilingi Milioni 8.5 hadi 9 na kuwakopesha watu wengine ili itengeneze faida ya riba.

Hiki ndicho kinachotokea pale kila mtu anapoamua kwenda kuchukua pesa zake kwa pamoja:

Pindi yanapoanza kuenea uvumi kuwa benki fulani inafilisika, wateja wote hukimbilia matawi ya benki au ATM kuchukua akiba zao.

Kwa sababu benki inahifadhi asilimia ndogo tu ya fedha taslimu (kwa mfano 10%), pesa za benki hiyo zitaisha ndani ya masaa machache tu! Mfano huu ulitokea kwenye kashfa ya Silicon Valley Bank (SVB) nchini Marekani na benki mbalimbali kwenye historia.

Namba unazoona kwenye App ya benki yako au kwenye SMS sio "fedha halisi" zilizopo kwenye chumba cha akiba. Ni ahadi ya kisheria kutoka kwa benki kuwa itakupa fedha hizo pindi unapozihitaji.

Ikiwa wateja wote watageuka na kuomba ahadi hiyo itekelezwe siku hiyo hiyo kwa Cash, mfumo wote unavunjika na bank itatangaza kufilisika na mtaishia kupewa pesa kidogo sana, mwenyewe milion 10 kwenye account ata ambulia labda milioni 2 hivi.

Kama mabenki yangehifadhi 100% ya pesa zote za wateja kwenye vyumba vyao vya siri:

Asingepatikana mtu yeyote wa kupewa mkopo wa kujenga nyumba, kununua gari, au kuanzisha biashara.

Mzunguko wa uchumi ungefanya kazi taratibu sana. Mfumo huu ndio unaiwezesha benki "kutengeneza fedha mpya" kupitia mikopo.

Ili kuzuia hofu serikali ziliunda mifumo miwili kuu:

Benki Kuu (mfano: BOT nchini Tanzania): yaani benki inayozikopesha benki zingine fedha taslimu za dharura pindi zinapozidiwa.

Bodi ya Bima ya Amana: Inayomhakikishia mwananchi kuwa hata benki ikifilisika leo, kuna kiwango cha chini cha fedha zake atakachorudishiwa na serikali.

Mfumo wa ubenki wa dunia haujengwi kwenye fedha taslimu pekee, bali unajengwa kwenye IMANI. Siku ambapo watu wote watapoteza imani na benki kwa wakati mmoja, mfumo wote wa kifedha wa dunia unasimama!
Watakao faidika ni wadaiwa wa mabenki.
Elimu👍
 
Acha ujuaji wa kijinga ,alichoandika huyo jamaa ni ukweli asilimia zote ,nashangaa upo hapa kupinga Kama zoba , unajua nini kuhusu fractional reserve banking wewe ? ,umewahi kusikia benki imefilisika na refund imefanyika asilimia mia kwa watu ?
Fractional reserve inahusika vipi na hiki ninachokizungumzia hapa?

Fractional reserve inahusu bank kutumia kiasi cha deposits za customers kujitengenezea faida.

Mimi nazungumzia wanacholipwa baada ya bank kufilisika. Sio kila bank inayotumia fractional reserve huwa inafilisika.

Unakuja na mikelele unanigombeza bure...

Nimeandika juu nina mfano wa bank iliyokuwepo Mwenge.
 
Jaribu kutafuta hii habari Mkuu. Jérôme Kerviel, na French bank Société Générale. Uone vitendo vya wafanyakazi wa benki vinavyoweza kuiangusha benki na kupoteza pesa zote za wateja halafu uniambie pesa za kuwalipa wateja zitatoka wapi!
 
@ JAYJAY

Unasahau point moja unavyoandika hivyo, kuna requirements zinazohitajika kwa yeyote anayetaka kuanzisha bank.

Na moja kati ya requirements hizo, muombaji hutakiwa deposit kiasi fulani cha pesa kwa BOT incase bank imefilisika, customers walipwe vyao.
 
Kuna aliyesema hawalipwi?
 
Fractional reserve inahusika vipi na hiki ninachokizungumzia hapa?

Fractional reserve inahusu bank kutumia kiasi cha deposits za customers kujitengenezea faida.

Mimi nazungumzia wanacholipwa baada ya bank kufilisika. Sio kila bank inayotumia fractional reserve huwa inafilisika.

Unakuja na mikelele unanigombeza bure...

Nimeandika juu nina mfano wa bank iliyokuwepo Mwenge.
Ndio maana nikakwambia unajua maana ya fractional reserve banking wewe ? , sasa Kama unajua fractional reserve banking ni kwamba pesa kiasi asilimia tisini ya deposit haipo Kama liquid cash ,huwezi kitumia akili ukajua kwamba Wateja wakihitaji pesa zao kwa wingi hawaeezi kuwa refunded hizo deposits zao kwa asilimia Mia ? ,we unaongelea benki sijjui Mwenge , Unauhakika hao Wateja wa Mwenge walikuwa refunded PESa in full amount ? Na huwezi kutumia logic na kujiuliza Kama wewe unaweka pesa zako benki ,hupewi return yoyote , na unakatwa pesa kila mwezi na makato ya miamala yet ukidai pesa zako mkiwa wengi au ikitokea situation flani hupewi PES a zako ?
 
@ JAYJAY

Unasahau point moja unavyoandika hivyo, kuna requirements zinazohitajika kwa yeyote anayetaka kuanzisha bank.

Na moja kati ya requirements hizo, muombaji hutakiwa deposit kiasi fulani cha pesa kwa BOT incase bank imefilisika, customers walipwe vyao.
Achana na mambo ya requirements,huo ni upuuzi tu wa kuwandanganya wajinga wasiochunguza mambo hasa nchi corrupt na babana republic Kama Tanzania .We unaamini BOT wana liquidity ya kufanya recovery ya Wateja wa NMB au CRDB kwa hata robo tu ya amount waliyoweka ikitokea shock kwenye hizo banks au watu wakihitaji pesa zao Leo ? ,
 
Fractional reserve inahusika vipi na hiki ninachokizungumzia hapa?

Fractional reserve inahusu bank kutumia kiasi cha deposits za customers kujitengenezea faida.

Mimi nazungumzia wanacholipwa baada ya bank kufilisika. Sio kila bank inayotumia fractional reserve huwa inafilisika.

Unakuja na mikelele unanigombeza bure...

Nimeandika juu nina mfano wa bank iliyokuwepo Mwenge.
Fractional banking inahusika directly na nilichoandika maana failure ya kulipa watu pesa zao isingekuwepo Kama kusingekuwa na fractional reserve banking, Kama unakeep asilimia kumi tu ya deposit kama liquidity unategemea refund itafanyikaje ? ,kiufupi Fractional reserve banking ni ponzi scheme .
 
Back
Top Bottom