Hivi na ninyi wamewatumia sms ya "TUNZA AMANI"?

Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.

Nadhani imetumwa karibu watu wengi!
 
Kenge ware wamenithumia. Sasa najiuriza mimi natunzaje amani hari wao wanaiharibu?

Wamwachie kwanza Rrissu na kutuambia Porepore aripo tata.
 
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.

Neno amani bila nyongeza ya neno haki ni uhuni tu ,haki kwanza then amani inakuja bia shuruti, pumbavu zao
 
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.

Kila mwenye akili nzuri anapenda Amani.
Tunza Amani kwa kutenda haki na kupinga uovu kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom