Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hapana sina njaa,mimi sijafunga,huwa nafunga quaresma,hiyo ni tosha kwangu,ila wewe umeweka picha ya gabacholi kwenye avatar yako,kwa hiyo wewe ni gabacholi,kama siyo basi unawafagilia magabacholi,na ndio maana wamekujengea sanamu ya samaki anarusha maji,na wewe unachekelea he he heeeee jiji letu la mwanza TWAHILAGA MAMI.
nafikiri nia yako n kujua nani huyo DP
huyo ni mimi mbona....
mbona sioni point zako

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Mkuu si unajua msukuma anvyojigamba? kama hivi"NENE TAJILI MAMI NAZO GUNILA MBIRI ZA MICHEMBE NA MSIKERI MBILI LAFIGI,NENE NAHILAGA GETE GETE NKOI.

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Utalijuaje kuwa ni jiji wakati daktari wako umemwacha Arusha

display picture
Oooh asante kwa kunifumbua macho,maana nimeishia darasa la pili shule ya kata,kwa hiyo ulifikiri nataka kuhakikisha?hapana umenielewa vibaya tena mbali kabisa,mimi nilipoona aavatar sijui DP?,NILIJUA KABISA WEWE NI GABACHOLI,NA ULIPOANZA KUITETEA Mwanza,nikajua aaaah enh,huyu atakuwa ukoo wa wale waliotuwekea lile sanamu la samaki anarusha maji,kumbe nimepatia,halafu sura yako sio ngeni sababu nilikuona Mwanza.

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
vigezo vya mji kuwa jiji ni kuwa na Maduka ya Nakumat?? ushamba uache wwe

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
hiv ni chungu cha ngap?
manake unachanganyikiwa na eid ujaila.
unaijua mwanza wewe? au unaisikia? maniokor

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Kwa upeo huu hata IELTS usiaangaike kufanya! wewe ni wa NECTA tu!

Oooh asante kwa kunifumbua macho,maana nimeishia darasa la pili shule ya kata,kwa hiyo ulifikiri nataka kuhakikisha?hapana umenielewa vibaya tena mbali kabisa,mimi nilipoona aavatar sijui DP?,NILIJUA KABISA WEWE NI GABACHOLI,NA ULIPOANZA KUITETEA Mwanza,nikajua aaaah enh,huyu atakuwa ukoo wa wale waliotuwekea lile sanamu la samaki anarusha maji,kumbe nimepatia,halafu sura yako sio ngeni sababu nilikuona Mwanza.
mm nna asili ya kimanga
ila baba mzanak wa musoma
mm sinasifia popote ila hii mada ni mada ya kijinga..

nafikiri nia yako n kujua nani huyo DP
huyo ni mimi mbona....
mbona sioni point zako

nafikiri nia yako n kujua nani huyo DP
huyo ni mimi mbona....
mbona sioni point zako
Ahaaa,sasa nimeanza kupata picha,wewe ni msugusu(msukuma chapa ya ngombe),nafikiri utakua mtoto wa Chenyenge,maana kuna wasukuma weupe kuliko Wahindi bhana,tena huolewa kwa ngombe nyingi saana,kama siyo basi mtoto wa Busigasolwe,maana hao familia zao wana uzao wa vyeupe dawa,duh samahani nilijikwaa.

Wewe ngosha,hivi usipomtukana Lowassa unapungukiwa kitu?,jamaa ni matawi ya juu,umchukie usimchukie humpunguzii kitu,zaidi unapata laana kutukana mzee anaeweza kuwa baba au babu yako,kama ni fisadi mwambie ngosha mwenzako ampeleke ile MAHAKAMA YENU YA MAFISADI mlioahidi,mmekalia kunywa uji wa chumvi na malimao,sukari imekuwa Tanzanite,na bado,hayo ni manyunyu tu mpaka mkishakwisha kwa KWASHKOOO NDIO MTAACHA KUKURUPUKA.

hatuwezi chagua wahuni wa pande hizo...mtu gani anajiharishia jukwaani, mimeno imewaoza mpaka basi...kapige mswaki kwanza alafu urudi jukwaani umetakasika shwain

za wapi ambazo sio za chupi na kununua? funguka twende
Zile zilizotokana na Vyuo vilivyachwa na Mkoloni,na ambavyo viliendeshwa na serekali tu,kama wakati wa kina Mzee wetu John Pombe Magufuli,na viongozi wote kuanzia aawamu ya nne kurudi nyuma,namaanisha vingozi wa serekali waliokuwa na nyadhifa kubwa kubwa tu,sio samaki aina ya furu.

Kwa hiyo na wewe umejiunga na kaka zako kina Shilinde na KINA Bogohe na kina Shija,kina Ndilizu,kina Kahungwa baasi wote ni kuitetea Mwanza hata kama kuna mapungufu eti? Wahindi wamemaliza samaki woote ziwa Nyanza halafu wamewajengea sanamu ya samaki anarusha maji,mkiisha shiba MICHEMBE mnajazana kuangalia samaki anarusha maji huku mnaimba wimbo wenu wa TUNAJIGOMBOLA NGOMBOOOO,eti tumejikomboa,.,,.....kwa kitu gani?
JF inaraha sana...

Zile zilizotokana na Vyuo vilivyachwa na Mkoloni,na ambavyo viliendeshwa na serekali tu,kama wakati wa kina Mzee wetu John Pombe Magufuli,na viongozi wote kuanzia aawamu ya nne kurudi nyuma,namaanisha vingozi wa serekali waliokuwa na nyadhifa kubwa kubwa tu,sio samaki aina ya furu.

wewe umerogwa unatuletea idea za mwaka 40...za akina edo walioshiba zege mdomoni we vipi

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

Nakumati???? tupa kule huo uchafu, habari ya mjini ni TSN kwa sasa

Back
Top Bottom